Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Ah ok.....Ila utakuta sometimes mwenye nyumba ndogo jamaa akibembelezwa anabembelezeka but akija nyumbani habembelezeki. Anaanza kukunja ndita tangu kwenye kona. Mna vituko nyie!!!
Sasa kwani mtu abembeleze kitu kiko fixed tu hapo home? Siku zote watu wanahangaika na vitu adimu. Ndo maana kwa wachumi law of supply and demand ni muhimu sana. Kule smala house lazima mtu abembeleze kwa sababu hana uhakika wa maisha yake kwa 100% kama ilivyo kwa big house. Pia wanaume wanapenda sana ku-impress wageni zaidi ya wenyeji...hujui hilo?