Jamani...Nauliza tu

Jamani...Nauliza tu

Kama ni mjamzito its understandable...
3 months before delivery its forbidden to perform 'that' part of biology...

Smile,

Hiyo miezi 3 ni kwa ushauri wa doctor, watu wa Marekani au Sangoma?

Mimi najua walau 40 days kama ni normal delivery ila hiyo 90days sijui inatokea wapi. Ila kwa uzoefu wangu hata 40days ni ngumu kutimiza!
 
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo

Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa........... ah ah nabembelezwaa ah

By Barnaba THT.

Hivi kuna mapenzi ya hivi kweli au ni nyimbo tu?

Sijui kwa vile kesho ni sikukuu basi leo naiona kama ijmaa vile ah :sick::sick::sick::smow:

Mkikutana wote wasanii mapenzi ya hivi yanawezekana tu lakini huwa ni ngumu ku-maintain.
 
Smile,

Hiyo miezi 3 ni kwa ushauri wa doctor, watu wa Marekani au Sangoma?

Mimi najua walau 40 days kama ni normal delivery ila hiyo 90days sijui inatokea wapi. Ila kwa uzoefu wangu hata 40days ni ngumu kutimiza!

DC hii ni kwa ushauri wa daktari na ni MUHIMU kuzingatia...
3 solid months before delivery and 3 solid months after delivery ili mtoto akue na afya nzuri...
 
DC hii ni kwa ushauri wa daktari na ni MUHIMU kuzingatia...
3 solid months before delivery and 3 solid months after delivery ili mtoto akue na afya nzuri...

Una prakitiko experience hiyo? Hebu kwanza wasiliana tena na huyo dokta wako usije ukaongeza members wa ISC bure!

Watu wanadunda hadi mwezi wa 9 na wanapumzika kama 30+ days. Au unataka kunikumbusha zile hadith za kubemenda watoto?
Kama huamini nambie nikutumie picha za watoto ambao hawakupata hiyo miezi 6 unayoongelea!
 
Kama mama hana matatizo ya kiafya wakati wa ujauzito; mwaweza banjuana hadi siku ya mwisho anaenda kujifungua.Kitaalamu hakuna kizuizi; pia baada ya kujifungua mwaweza anza banjuana baada ya siku 40.Hivyo usimunyime haki yake mkeo kama hana tatizo la kiafya.
 
Unajua Asprini alisoma shule moja iitwayo Matemboni wenyewe wanaita Matembonyi sule ya msingi na sekondari akasoma Kolila O level na A level Old Moshi sasa hajui tofauti ya kubembeleza na kuliwaza ah!!

Asprin:

Kubembeleza kimapenzi ni kule kudekeza
kuliwaza ni kutoa faraja pale ambapo mwenzio kaghafilika!!

Ewaaaaa! Hapo tunaenda sawa sasa!

Sasa uliona wapi mwanaume akamdekeza mwanamke baada ya kummega? Sanasana atakuwa na kazi ya kumliwaza baada ya kumkuta anasononeka (kama kawaida ya wanawake) kulikosababishwa na mwanaume mwenyewe kuchelewa kurudi kutoka baa, kutommega kwa wiki kadhaa (nguvu zote zimeishia kwa kina eliza), kufumania msg za kina eliza kwenye simu na mambo kama hayo!

Narudia tena kajukuu, wanaume huwa hatubembelezi, tunaliwaza!
 
DC hii ni kwa ushauri wa daktari na ni MUHIMU kuzingatia...
3 solid months before delivery and 3 solid months after delivery ili mtoto akue na afya nzuri...
matatizo matupu hayo.. huyo daktari ni mwanaume au mwanamke??? vetting imefanyika vizuri kweli?? maana waweza kuta jamaa anafaidi njuruu ya moto aisee
 
matatizo matupu hayo.. huyo daktari ni mwanaume au mwanamke??? vetting imefanyika vizuri kweli?? maana waweza kuta jamaa anafaidi njuruu ya moto aisee

Natamani nisome katikati ya mistari hapo, lakini bahati nzuri nimeshakuelewa.

Vipi, umerudi na Sangara kiduchu?
 
Una prakitiko experience hiyo? Hebu kwanza wasiliana tena na huyo dokta wako usije ukaongeza members wa ISC bure!

Watu wanadunda hadi mwezi wa 9 na wanapumzika kama 30+ days. Au unataka kunikumbusha zile hadith za kubemenda watoto?
Kama huamini nambie nikutumie picha za watoto ambao hawakupata hiyo miezi 6 unayoongelea!

DC hayo ni maelezo ya daktari...
Sasa zaidi ya hapo kwa kweli sijui!
 
matatizo matupu hayo.. huyo daktari ni mwanaume au mwanamke??? vetting imefanyika vizuri kweli?? maana waweza kuta jamaa anafaidi njuruu ya moto aisee

Natamani nisome katikati ya mistari hapo, lakini bahati nzuri nimeshakuelewa.

Vipi, umerudi na Sangara kiduchu?

Mi nahisi sijamuelewa...
Unaweza kunisaidia kumuelewa kidogo Asprin..?!
Macho yangu hayawezi kusoma kati ya mstari...:thinking:
 
Mi nahisi sijamuelewa...
Unaweza kunisaidia kumuelewa kidogo Asprin..?!
Macho yangu hayawezi kusoma kati ya mstari...:thinking:

Hebu njoo huku chemba...mambo mengine watoto hawapaswi kuyasikia.
 
Mi nahisi sijamuelewa...
Unaweza kunisaidia kumuelewa kidogo Asprin..?!
Macho yangu hayawezi kusoma kati ya mstari...:thinking:

Posted via Mobile

Upo gest gani nakutafuta ivo Smiles:A S-frusty:
 
Chairman...
Mweka hazina kaniambia eti uko busy usitafutwe...:mad2:

Braza ODM hawezi kukosea ila sasa sio wewe usintafute....hebu do ze nidiful halafu rudi hapa chap chap.....
 
Nakusubiri ujue.... Halafu umejifungia room gani? Posts via mobile ni mojawapo ya kiashirio kuwa wewe ni mwanachama wetu hai!

unadhan smiles hayajui haya?
Msisahau kwa nyerere alikua hajui kubembeleza wala kuwaliwaza mafisadi.
 
Back
Top Bottom