Jamani...Nauliza tu

Jamani...Nauliza tu

Mmmh Asprin umeanza kunidanganya mara hii?kila cku naona ukimpa smiles maua leo unasema kajipendekeza na mimi si utasema hivyo hivyo?au nicheck na Kaizer?

Usijali yale alikuwa anayapandikiza Kaizer kwa makusudi....Kama unabisha msome mwenyewe Smiles hapa....

Aah usijali kabisa...taratibu tu utamzoea!
Ngoja mi nimalizane na the Pope kwanza...! :becky:
We have a major pendin issue...:becky:
 
Nimefumbua mikono yangu tayari kwa mapokezi ya kumbatio! Umefika wapi? Nikutumie :car:????

Afadhali kaizer amemtoa smiles tupate muda mrefu kidogo,mbona nimefika lkn sikuoni?
 
Afadhali kaizer amemtoa smiles tupate muda mrefu kidogo,mbona nimefika lkn sikuoni?

Ahaaa! Eee Mungu mpofushe Wiselady wangu mpenzi asiisome hii posti hapa chini! Kaizer kwanini unatumia pasiwedi yangu vibaya? Unataka kunigombanisha na Lady the Wise?

Duh! Naona ishakula kwangu mazima! Sijui nirudishe majeshi kwa my dear and darling Smile's avatar?
 
Malizana na Pope lkn jua huku nitakuhitaji kwa ushauri nasaha, na strategies za kwenda nae

Anytime my dear...
Jus go with ur eyes wide open! Maana mhazini huyu is not very reliable...
 
Duh! Naona ishakula kwangu mazima! Sijui nirudishe majeshi kwa my dear and darling Smile's avatar?

hahahahahahahah! sasa kama wivu wako huko juu hivyo nitaushusha na nini?usaili ni lazima isikute alisaidiwa,me and u only Smiles yuko na Kaizer
 
hahahahahahahah! sasa kama wivu wako huko juu hivyo nitaushusha na nini?usaili ni lazima isikute alisaidiwa,me and u only Smiles yuko na Kaizer

You can say that again and again and again! Kaizer nimemwachia mtalaka wangu Smiles....ndio uzuri wa sheria yetu namba 3....Kizuri....?
 
You can say that again and again and again! Kaizer nimemwachia mtalaka wangu Smiles....ndio uzuri wa sheria yetu namba 3....Kizuri....?

hommie itakuja kukucost hiyo....ohooo:shut-mouth:
 
You better put our Pope busy...otherwise he will put you busy! Thats what he was born for!

(Hivi hapo JJ umeshaweka order ya KIti MOto mweka hazina?)

:biggrin1::biggrin1:
 
Ila hii mobile ya Smiles iko fast...ni Blackberry 9700 nini? dah
 
Ahaaa! Eee Mungu mpofushe Wiselady wangu mpenzi asiisome hii posti hapa chini! Kaizer kwanini unatumia pasiwedi yangu vibaya? Unataka kunigombanisha na Lady the Wise?
Mh haya maombi ya kumuombea mpenzi wako apigwe upofu yanatoka wapi tena,na mbona kama unamsingizia Kaizer wa watu maana sa hizi yuko busy na smiles,haya na wewe nimefika muda ckuoni au ndo taadhari nilizopewa na Smiles siyo?
 
Back
Top Bottom