Jamani...Nauliza tu

Jamani...Nauliza tu

mhh dearest...ktk wanaume wote humu ndani ukamuona huyo mzee, hebu huko ucnitie aibu mie dadako! ruka na Kimey, Finest,Roy...au hujui uzee unaambukiza?
Dearest si unajua penzi halichagui,lkn kwa kuwa umeingilia kati wacha nichomoke na Roy maana Finest ni walewale Kimey bado namchunguza anaweza kuwa marriage material:A S thumbs_up:
 
Dearest si unajua penzi halichagui,lkn kwa kuwa umeingilia kati wacha nichomoke na Roy maana Finest ni walewale Kimey bado namchunguza anaweza kuwa marriage material:A S thumbs_up:

Kwahiyo umeamua kuondoka na Mwenyekiti ili uweze kuidhinishwa haraka haraka bila kufuata procedures za chama
 
Mpaka hapa nimepoteza muelekeo ..mwongozo nini kinajadiliwa sasa?
Vumilia tu mwanamke wa kwanza maana wachakachuaji wameshaivamia, hata MJ1 kashasahau thread yake inahusu nini!
Rejea; kubembelezwa na kuliwazwa
 
Its true! Binafsi maisha ninayoish na mke wangu watu wengi huwa wanashangaa, skatai sometimes kununiana, lakn most of the times ni utani kama watoto wadogo! Kwli huwa naona furaha sana kuwa karbu na mke wangu!
"Nakulavu sana mama Jr!.....teh teh, mh basi na wee bichwa ndy hilo!..ntakufumua teke, ah umezipanga ngumi....ya hu ha ya kbadach!....shu ha!...kagumi chenyewe ndy hako?......sasa mbona unaleta kamkono chako huku chn...ngumi gani hzo!........mwe:dance:"
Ah, samahan, kumbe watu wanatuskia!
 
Kwahiyo umeamua kuondoka na Mwenyekiti ili uweze kuidhinishwa haraka haraka bila kufuata procedures za chama
Haswaaaaaaaaaaaaaaa!niko purposely kukamilisha mission niliyotumwa na kambi ya upinzani,na wewe nimekushtuka maana:dance::dance:
 
mhh dearest...ktk wanaume wote humu ndani ukamuona huyo mzee, hebu huko ucnitie aibu mie dadako! ruka na Kimey, Finest,Roy...au hujui uzee unaambukiza?

The Following 3 Users Say Thank You to Nyamayao For This Useful Post:

Roya Roy (Today), The Finest (Today), Wiselady (Today)

:ranger::ranger::ranger::ranger:
 
Duh! Ishakula kwangu siyo?:A S 103::A S 103::A S 103:

FILL THE BLANKS:
wahenga walisema mtaka vyote kwa pupa......................

chelewa chelewa utakuta............................

Asprin akiwa na Eliza.......................
 
Hapana, ndio kwanza familia inakua. Mjukuu wangu bado hajafikia umri wa kuingia familia yenu (Tafadhali usimwambie mwenyekiti, atanifukuza uanachama):A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:

Orait...ujumbe umefika! Kasema atakuwajibisha ipasavyo...:becky:
 
FILL THE BLANKS:
wahenga walisema mtaka vyote kwa pupa......................

chelewa chelewa utakuta............................

Asprin akiwa na Eliza.......................

Hahahah....
 
kubembelezwa kupo sana kwa mtu anaekupenda sana hasa mwaka wa kwanza wa mapenzi, unaweza kuona uko mbinguni na akili yote huisha kabisa kufikiri katika penzi au kuona kimapenzi. kama hujawahi kupata polee
 
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo

Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa........... ah ah nabembelezwaa ah

By Barnaba THT.

Hivi kuna mapenzi ya hivi kweli au ni nyimbo tu?

Sijui kwa vile kesho ni sikukuu basi leo naiona kama ijmaa vile ah :sick::sick::sick::smow:

i am on a mood to enjoy, but nimebanwa kweli na kazi... tehn nawaza-wazaaa... naamua kupaste hii kitu toka kwa KCI na JOJO

Wish that I could have you in my space
Wish that I could kiss and caress your face
How is it that I love you and I don't even know U
Did you plant a seed inside of me, when you said hello

Hello darlin, hello sweetheart
She said I'm lost and I don't know my way around
Hello darlin, hello sweetheart
Can U please show me which way to go
She said please show me which way to go

If I changed my look would I have a chance
Or is that I'm used to only one night stands
My idea of romance was nothing more than a kiss in the wind
Never could understand anything about love
Till she said hello

Hello darlin, hello sweetheart
She said I'm lost and I don't know my way around
Hello darlin, hello sweetheart
Can U please show me which way to go
She said please show me which to go

Notice me right before your eyes
Wanting you hidden love by surprise
Left undone and I can't give up until were one
 
Heeee maskini...bado hakijaeleweka tu?? :confused2:

Smiles nimerudisha mzigo wako though ,utakuwa una afadhali maana alipata huduma church kwa hiyo tarajia mabadiliko ya taratibu.
 
i am on a mood to enjoy, but nimebanwa kweli na kazi... tehn nawaza-wazaaa... naamua kupaste hii kitu toka kwa KCI na JOJO

Wish that I could have you in my space
Wish that I could kiss and caress your face
How is it that I love you and I don't even know U
Did you plant a seed inside of me, when you said hello

Hello darlin, hello sweetheart
She said I'm lost and I don't know my way around
Hello darlin, hello sweetheart
Can U please show me which way to go
She said please show me which way to go

If I changed my look would I have a chance
Or is that I'm used to only one night stands
My idea of romance was nothing more than a kiss in the wind
Never could understand anything about love
Till she said hello

Hello darlin, hello sweetheart
She said I'm lost and I don't know my way around
Hello darlin, hello sweetheart
Can U please show me which way to go
She said please show me which to go

Notice me right before your eyes
Wanting you hidden love by surprise
Left undone and I can't give up until were one
MAshairi mazito haya Acid......... Hiviiii........... kuna wenye hisia za kiukwelii kama zilizowekwa kwenye mashairi haya au ni kwa ajili ya kufurahisha mashabiki?? I wonder
 
MAshairi mazito haya Acid......... Hiviiii........... kuna wenye hisia za kiukwelii kama zilizowekwa kwenye mashairi haya au ni kwa ajili ya kufurahisha mashabiki?? I wonder

Mjukuu shkang!

Maswali gani unauliza?
 
MAshairi mazito haya Acid......... Hiviiii........... kuna wenye hisia za kiukwelii kama zilizowekwa kwenye mashairi haya au ni kwa ajili ya kufurahisha mashabiki?? I wonder
hisia zipo ila lazima ziwe mutual
 
Back
Top Bottom