Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

Bongo hakuna simu original, labda kwenye maduka rasmi ya samsung ndio unaweza kuwa na uhakika.
Kwasababu hatuna utaratibu wa kukagua au kujua kipi ni org kipi fake, 😂.. Mtu anafika dukan anasema anataka cm ya aina gan anatolewa wanakubaliana bei analipa na kuondoka, anasubiri kuwasha akifika nyumban🤣 wakati angeweza kukagua phone status palepale dukani akawa na uhakika nayo. 😂😂
 
Nairobi kuna authorized dealer wa Product nyingi tu tena ziko Genuine kuna namna Fulani baadhi ya Shop Nairobi people are so serious bongo unakuta mtu ni dealer ila still anaweka au kuuzia wateja product fake purposely tu ili apate faida kubwa bila kuangalia kesho ya Biashara yake, Mimi ni fan wa Google pixel na Whenever i want to upgrade huwa na order Nairobi tu
 
Nenda PHONEPOINTDAR, wako pale Posta maeneo ya ofisi za TTCL.


Hawa ndiyo pekee nawaamini...


Kiujumla dealerd wa Posta ndiyo kidogo nawaamini..


Kariakoo sipaamini 200%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…