mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Utapeli utapeliYaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utapeli utapeliYaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Bongo hii kila kitu lazima upasue kichwaYaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Ubabaishaji kila mahali.Yaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Kwasababu hatuna utaratibu wa kukagua au kujua kipi ni org kipi fake, 😂.. Mtu anafika dukan anasema anataka cm ya aina gan anatolewa wanakubaliana bei analipa na kuondoka, anasubiri kuwasha akifika nyumban🤣 wakati angeweza kukagua phone status palepale dukani akawa na uhakika nayo. 😂😂Bongo hakuna simu original, labda kwenye maduka rasmi ya samsung ndio unaweza kuwa na uhakika.
we mrembo acha hizo mambo, pm ya nini wakati wanaofatilia uzi ni wengiUnahitaji samsung gani???
Njoo Pm nikupe wakala
Mkuu unatembea na bati za nyumba ya uchumi wa Kati mfukoni.A55 5G 8/128GB 900k
Ndio maaana mimi nakimbilia Nairobi, jamaa wapo serious na biasharaYaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Nenda PHONEPOINTDAR, wako pale Posta maeneo ya ofisi za TTCL.
Hawa ndiyo pekee nawaamini...
Kiujumla dealerd wa Posta ndiyo kidogo nawaamini..
Kariakoo sipaamini 200%
Mimi sijawalenga wafuatiliaji uzi. Ni mhitaji tu Asantewe mrembo acha hizo mambo, pm ya nini wakati wanaofatilia uzi ni wengi
Kishoka!Mimi sijawalenga wafuatiliaji uzi. Ni mhitaji tu Asante