Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Nenda kwenye maduka ya kampuni za simu. Binafsi naendaga shoppers Mikocheni kwa Dar.Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua.
Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung.
Karibuni;;;;;;;
Yule Mwarabu anajitahidi sana paleNenda PHONEPOINTDAR, wako pale Posta maeneo ya ofisi za TTCL.
Hawa ndiyo pekee nawaamini...
Kiujumla dealerd wa Posta ndiyo kidogo nawaamini..
Kariakoo sipaamini 200%
wewe endelea na tantalila zako mkuu kumuweka simuweki πEti njoo pm kwani huyo wakala anauza madawa ya kulevya au? weka jina lake hapa
Sapn electronics, phone point. Wote wapo samora.
Kote tena hapo phonepoint utanunua refurb kwa bei ya mpyaWapi wanachanganya na refub?
Kariakoo ama Phone Point Dar?
Nilienda Dubai Deira market, wale jamaa ni zaidi ya mawinga. Walitaga kunipiga eti wanipe A80 au A90. Eti leta hiyo A55 yako tukubadilishie na hizi. Yaani zile silu sijui ni za wapi, ziko tofauti kabisa na A series.Yaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Sasa wewe mgeni unaenda kununua vitu Deira ambayo ni kama Kariakoo tu ulitegemea kitu tofauti? Next time nunua vitu kama simu Dubai Mall,Emirates mall au Deira Mall sio kule changanyikeni matakataka feki kibao na ndio maana bei rahisi.Nilienda Dubai Deira market, wale jamaa ni zaidi ya mawinga. Walitaga kunipiga eti wanipe A80 au A90. Eti leta hiyo A55 yako tukubadilishie na hizi. Yaani zile silu sijui ni za wapi, ziko tofauti kabisa na A series.
Kila mtu ni dalali pale ,hata mwenye duka hajulikani.
Nilikuwa naishia kucheka tu, na kingereza Chao cha ndio kuelewana inakuwa tafrani.
Sina duka ila ukihitaji simu original samsung na iphones nitakuelekeza pakupata.Ayah tusaidie tujue Duka lako ni lipi???
Kariakoo, huchelewi kuuziwa infinix yenye cover ya iphoneNenda PHONEPOINTDAR, wako pale Posta maeneo ya ofisi za TTCL.
Hawa ndiyo pekee nawaamini...
Kiujumla dealerd wa Posta ndiyo kidogo nawaamini..
Kariakoo sipaamini 200%
Kama uko serous na unataka OG OG OG nitakuagizia Korea yupo ndugu yangu kule hutojutaaa maisha yako lkn simu zao zina simu card moja tu.Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua.
Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung.
Karibuni;;;;;;;
Madalali Kila Kona Yaani Jambo Lolote Unalotaka Kufanya UnawakutaYaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
π Samsung Galaxy A25Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua.
Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung.
Karibuni;;;;;;;
Akachukue simu kutoka DubaiNenda kwa " zaolo" matelephone
Vitu vingi nimenunua Deira mall, Dubai na emirate mall. Pia kwenye maduka ya Day to day. Kule nilienda kununua abaya ndio nikakutana na hao mawinga.Sasa wewe mgeni unaenda kununua vitu Deira ambayo ni kama Kariakoo tu ulitegemea kitu tofauti? Next time nunua vitu kama simu Dubai Mall,Emirates mall au Deira Mall sio kule changanyikeni matakataka feki kibao na ndio maana bei rahisi.
Kabisa huku tz uhuni uhuni uwongo uwongo mwingiNairobi kuna authorized dealer wa Product nyingi tu tena ziko Genuine kuna namna Fulani baadhi ya Shop Nairobi people are so serious bongo unakuta mtu ni dealer ila still anaweka au kuuzia wateja product fake purposely tu ili apate faida kubwa bila kuangalia kesho ya Biashara yake, Mimi ni fan wa Google pixel na Whenever i want to upgrade huwa na order Nairobi tu
Tofauti na mzungu hizo ngozi nyingine hakunaga trust katika b'znessNilienda Dubai Deira market, wale jamaa ni zaidi ya mawinga. Walitaga kunipiga eti wanipe A80 au A90. Eti leta hiyo A55 yako tukubadilishie na hizi. Yaani zile silu sijui ni za wapi, ziko tofauti kabisa na A series.
Kila mtu ni dalali pale ,hata mwenye duka hajulikani.
Nilikuwa naishia kucheka tu, na kingereza Chao cha ndio kuelewana inakuwa tafrani.