Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

Yaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Nilienda Dubai Deira market, wale jamaa ni zaidi ya mawinga. Walitaga kunipiga eti wanipe A80 au A90. Eti leta hiyo A55 yako tukubadilishie na hizi. Yaani zile silu sijui ni za wapi, ziko tofauti kabisa na A series.
Kila mtu ni dalali pale ,hata mwenye duka hajulikani.
Nilikuwa naishia kucheka tu, na kingereza Chao cha ndio kuelewana inakuwa tafrani.
 
Sasa wewe mgeni unaenda kununua vitu Deira ambayo ni kama Kariakoo tu ulitegemea kitu tofauti? Next time nunua vitu kama simu Dubai Mall,Emirates mall au Deira Mall sio kule changanyikeni matakataka feki kibao na ndio maana bei rahisi.
 
Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua.

Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung.

Karibuni;;;;;;;
Kama uko serous na unataka OG OG OG nitakuagizia Korea yupo ndugu yangu kule hutojutaaa maisha yako lkn simu zao zina simu card moja tu.
 
Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua.

Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung.

Karibuni;;;;;;;
📌 Samsung Galaxy A25
✅ brand new full box
✅ bettery 50000mAh
✅ camera 50mp
✅ Network 🛜 5G
✅GB (128+8) Tsh 650,000//=
✅ GB (256+8) Tsh 700000//=

tunapatikana kariakoo aggrey plaza nyuma ya jengo la china plaza

Samsung A series zote hizi hapa 👇
__________________________
SAMSUNG BRAND NEW

✅A05 (4+64) Tsh 300,000//=
✅A05 (4+128) Tsh 340,000//=
✅A05s (4+64) Tsh 320,000//=
✅A05s (4+128) Tsh 360,000//=
✅A15 (4+128) Tsh 420,000//=
✅A15 (6+128) Tsh 460,000//=
✅A25 5G (8+128) Tsh 650,000//=
✅A25 5G (8+256) Tsh 700,000//=
✅A34 5G (6+128) TSH 700,000//=
✅A35 5G (8+128)Tsh 900,000//=
✅A35 5G (8+256) Tsh 970,000//=
✅A54 5G (8+128) Tsh 880,000//=bi
✅A54 5G (8+256) Tsh 970,000//=
✅A55 5G (8+128) Tsh 1,000,000//=
✅A55 5G (8+256) Tsh 1,080,000//=
 
Sasa wewe mgeni unaenda kununua vitu Deira ambayo ni kama Kariakoo tu ulitegemea kitu tofauti? Next time nunua vitu kama simu Dubai Mall,Emirates mall au Deira Mall sio kule changanyikeni matakataka feki kibao na ndio maana bei rahisi.
Vitu vingi nimenunua Deira mall, Dubai na emirate mall. Pia kwenye maduka ya Day to day. Kule nilienda kununua abaya ndio nikakutana na hao mawinga.
 
Nairobi kuna authorized dealer wa Product nyingi tu tena ziko Genuine kuna namna Fulani baadhi ya Shop Nairobi people are so serious bongo unakuta mtu ni dealer ila still anaweka au kuuzia wateja product fake purposely tu ili apate faida kubwa bila kuangalia kesho ya Biashara yake, Mimi ni fan wa Google pixel na Whenever i want to upgrade huwa na order Nairobi tu
Kabisa huku tz uhuni uhuni uwongo uwongo mwingi

Ova
 
Nilienda Dubai Deira market, wale jamaa ni zaidi ya mawinga. Walitaga kunipiga eti wanipe A80 au A90. Eti leta hiyo A55 yako tukubadilishie na hizi. Yaani zile silu sijui ni za wapi, ziko tofauti kabisa na A series.
Kila mtu ni dalali pale ,hata mwenye duka hajulikani.
Nilikuwa naishia kucheka tu, na kingereza Chao cha ndio kuelewana inakuwa tafrani.
Tofauti na mzungu hizo ngozi nyingine hakunaga trust katika b'zness
 
Back
Top Bottom