Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Ni shidaTofauti na mzungu hizo ngozi nyingine hakunaga trust katika b'zness
Hapana Waarabu wa Dubai wenyewe wako poa, tatizo huko Deira kumejaa Wapakistan,Wanaigeria,Wahindi, Wabongo na wengineo ndio wafanyabiashara full uswahili na uhindi.Tofauti na mzungu hizo ngozi nyingine hakunaga trust katika b'zness
Unaongea sanaa leta pesa nikuletea kitu kutoka korea OgHapana Waarabu wa Dubai wenyewe wako poa, tatizo huko Deira kumejaa Wapakistan,Wanaigeria,Wahindi, Wabongo na wengineo ndio wafanyabiashara full uswahili na uhindi.
Kwanini unahisi nahitaji uniletee kitu kutoka Korea?Unaongea sanaa leta pesa nikuletea kitu kutoka korea Og
Yaani pesa yako ila ukitaka kununua kitu hadi unapatwa na stressπββοΈπββοΈπββοΈYaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Si unataka OG kaka nakuahidi senti tano sitachukuaKwanini unahisi nahitaji uniletee kitu kutoka Korea?
Hawana janja janja?Phone point dar
Wapo Lumumba
Okay, nina access ya kupata chochote kile genuine.Si unataka OG kaka nakuahidi senti tano sitachukua
Imagine.....uhangaike kutafuta hela hata kuitumia tena unaanza kuhangaika!Yaani pesa yako ila ukitaka kununua kitu hadi unapatwa na stressπββοΈπββοΈπββοΈ
Basi sawa mm nilitaka kukusaidia tu by the way mm DXBOkay, nina access ya kupata chochote kile genuine.
Upo DXB?Basi sawa mm nilitaka kukusaidia tu by the way mm DXB
ndioUpo DXB?
Nitakutafuta kuna chimbo nalitafuta huko. Nitumie msg PM iwe kama reminder.ndio
Na mimi ndio ninachojua maduka ya samsung yapo teleeee mjini, hata pale JM mall samora wana duka, Mlimani City wanalo, ni mtu tu kusearch samsung shops near me.Nunua kwenye maduka yao mkuu, yapo maeneo kibao town
Hivi kariakoo wamewafanyajeNitakutafuta kuna chimbo nalitafuta huko. Nitumie msg PM iwe kama reminder.
Kariakoo ina watu wake.Hivi kariakoo wamewafanyaje
Mkuu siku hizi technology imebadilika sana. sasa hivi kuna hii kitu ya e-sim (Tz hapa voda wanayo hiyo huduma). Juzi kati katika pitapita zangu huko ulimwenguni nikanunua simu nikaambiwa ni sim card moja...kumbe unaweza kuweka e-sim mpaka tano (zinazokuwa active mda wote ni mbili). Kubeba simu mbili au tatu uamue mwenyewe sasa.Kama uko serous na unataka OG OG OG nitakuagizia Korea yupo ndugu yangu kule hutojutaaa maisha yako lkn simu zao zina simu card moja tu.
Bei za SAMSUNG S series_* hizi hapa chini πRefurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua.
Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung.
Karibuni;;;;;;;
Huwa nanunua zangu posta sio refurbished.Wote wanauza refurb