Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

Jamani ni duka gani ambalo ni maarufu lina hadhi ya kuuza simu original za Samsung? maana vishoka ni wengi

Hapana Waarabu wa Dubai wenyewe wako poa, tatizo huko Deira kumejaa Wapakistan,Wanaigeria,Wahindi, Wabongo na wengineo ndio wafanyabiashara full uswahili na uhindi.
Unaongea sanaa leta pesa nikuletea kitu kutoka korea Og
 
Yaani Tz kununua bidhaa shida sana, huwezi kwenda dukani ukanunua kitu straightfoward mara upigwe bei,mara ubambikiwe feki yaani ki kizungumkuti.
Yaani pesa yako ila ukitaka kununua kitu hadi unapatwa na stress🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Hapana Waarabu wa Dubai wenyewe wako poa, tatizo huko Deira kumejaa Wapakistan,Wanaigeria,Wahindi, Wabongo na wengineo ndio wafanyabiashara full uswahili na uhindi.
Hahahhhha
 
Kama uko serous na unataka OG OG OG nitakuagizia Korea yupo ndugu yangu kule hutojutaaa maisha yako lkn simu zao zina simu card moja tu.
Mkuu siku hizi technology imebadilika sana. sasa hivi kuna hii kitu ya e-sim (Tz hapa voda wanayo hiyo huduma). Juzi kati katika pitapita zangu huko ulimwenguni nikanunua simu nikaambiwa ni sim card moja...kumbe unaweza kuweka e-sim mpaka tano (zinazokuwa active mda wote ni mbili). Kubeba simu mbili au tatu uamue mwenyewe sasa.
 
Refurbished zimekuwa nyingi mtaani na kwa watu wengi ni ngumu kutambua.

Tusaidiane duka lenye sifa ya kuuza simu original za samsung.

Karibuni;;;;;;;
Bei za SAMSUNG S series_* hizi hapa chini 👇

📱S22 ULTRA 128G =850,000/=📌

📱S21 ultra FULL BOXED 📦 = 830,000/=

📱S21ultra (clean) 128GB = 750,000/=

📱S21 plain (clean) = 580,000/=

📱S21 plain (pin dot)= 550,000/=

📱S20 plus (dot) =480,000/=

📱S20 plain(dot ) = 420,000/=

📱S10 plus ( dot) = 480,000/=

📱S10 plain(dot) = 400,000/=

📱S10e 128Gb = 370,000/

📱S9 64GB( dot)=310,000/

📱S8.64GB (dot) = 300,000/=
 
Back
Top Bottom