House4Sale Jamani nimebanwa sana. Nauza nyumba yangu.

Ni nyumba mmoja kwa nyuma iko kama ghorofa na vyumba viwili kama underground.
Sema basi bei ili ueleweke?

Mdau hapo juu kasema 20 mil umesema haitoshi. Yaani unataka wenyewe humu tukanyagane mpaka tufike hiyo bei unayoitaka.

Weka bei yako tuanze kuelewana. Nitatuma mtaalamu wa ujenzi kuja kuiangalia next week na kufanya analysis kama uko siriazi. Nina kibanda pia hiyo mitaa...
 

Sijasema haitoshi sijaandika hivyo. Kiwanja nilinunu mwaka jana January. Kiwanja nilinunu 23m. Kutokana na hiyo location. Nimeweka Number yangu hapo juu. Kama upo “siriazi” kama unavyosema feel free ku call. Ntakupa bei na umlete huyo mtu wako au watu wako wa ujenzi waje au aje. Ahsante
 
Umeona ukiweka bei hapa utakosa wa kumlalia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…