House4Sale Jamani nimebanwa sana. Nauza nyumba yangu.

House4Sale Jamani nimebanwa sana. Nauza nyumba yangu.

Ndiyo nimeweka Number hapo juu. Siku njema ... NB: sijawahi kumlalia mtu mimi sina hizo tabia chafu
Mkuu weka bei kwani nini shida?
Biashara hazipo hivyo.
Tuwekee bei tujue hatuna muda wa kwenda huko inbox wala nini.
Tutakucheki baada ya kuona bei hapa jukwaani.
 
Nadhani atakuwa dalali anatafuta cha juu. Kama bei ya kiwanja kaiweka kwanini ya nyumba iwe shida???

Nampa insight aliyesema anataka kununua nyumba kwa 20m. Mm siyo dalali nyumba ni yangu na ukija kuichek utanikuta na siku unalipia hela inakuja kwenye acc yangu. Acha kuongea kama huelewi! Siweki bei ili mtu achukue hapa atafte mteja kwa bei yake apate cha juu. Na pia kukwepa madalali na % yao. Next time don’t waste your precious minutes trying to satisfy others.
 
Nadhani atakuwa dalali anatafuta cha juu. Kama bei ya kiwanja kaiweka kwanini ya nyumba iwe shida???

Usije inbox. Numbe hiyo hapo juu nitafute uje uone nyumba na thamani yake ulete watu wa majengo na wizara pia kama you “siriaz” then tuongee bei. Hakuna tozo la kuangalia nyumba. Na maji ya kunywa ntakupa bure. Iko mwisho wa lami salasala karibu.
 
Nimependa hio, pole kaka naona kidogo ulitaka kupata hasira, kwenye mambo haya huitaji hasira kuwa mpole mtu akikukera hesabu mpaka kumi endelea unaweza kwa hasira ukamjibu mmoja ila ukamkwaza mwingine unajua tena Baniani Mbaya Kiatu chake Dawa.....
 
Nampa insight aliyesema anataka kununua nyumba kwa 20m. Mm siyo dalali nyumba ni yangu na ukija kuichek utanikuta na siku unalipia hela inakuja kwenye acc yangu. Acha kuongea kama huelewi! Siweki bei ili mtu achukue hapa atafte mteja kwa bei yake apate cha juu. Na pia kukwepa madalali na % yao. Next time don’t waste your precious minutes trying to satisfy others.

umefanya vema kabisaa ukiweka bei madalali wanaweka chao pichaa zinaanza kusambaa. mpaka unatumiwa na wewe muuzaji na bei imeongezeka ya hatari.

ila kwa upande mwingine madalali wanafaida yao.ilimradi muwe na maelewano.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kanichekesha sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom