Siyo dropouts tuu Brother. Wengi wana degree kabisa ila ndo hivyo our education system is pouring rubbish on streets. Atakuja hapa atatafta loop hole ili aweke comment yake apate like aridhike au aanzishe ubishi tuu. Tanzania is a Zombie Nation. I do believe that Miseducated person is more dangerous than Uneducated. Am young am in problems and urgently I want to sell my unfinished house yet mtu anakuja kufanya jokes. I stated text me or call nimeweka Number kabisa, nime expose my number kabisa kwa mtu serious na watu kadhaa wamenicheki already and Asanteni sana. Inakera inakasirisha. Kama nimekujibu vibaya am sorry. Kama umeweka Offer yako hata kama ni 10m asante kama inalipa ill reply na kama hailipi ill tell you. Sijafikisha 30yrs na population yetu vijana ni zaidi ya 1/2 ya watu wote Tanzania na I would like to say we are dumb. And we make jokes in life and anything that comes infront of us.