House4Sale Jamani nimebanwa sana. Nauza nyumba yangu.

I see Maisha haya Mtu ana Nyumba and then ana Shida ya Dharula... Sijui tunakwama wapi?

Nyumba hii siishangai kwa leo nishaona moja Kimara imejengwa aina hiyo Mbele unaiona ya kawaida ila nyuma unakuta kibonde na vyumba chini na ile nyumba ambayo mbele inaonekana ya chini ukiizunguka nyuma unakuta ni ghorofa nusu
 
Sikuona Mkuu ila kuuza nyumba hata kama umekwama kiasi gani si uamuzi mzuri. Adha za kupanga ni kiboko na pia kupata milioni 400 na vyuma vilivyokaza si rahisi na hata milioni 200 tu sijui kama atapata mtu hasa ukitilia maanani hana hati miliki.

Title deed hana. Kasema hapo juu kuipata itachukua muda na 2 milioni juu.
 
Sikuona Mkuu ila kuuza nyumba hata kama umekwama kiasi gani si uamuzi mzuri. Adha za kupanga ni kiboko na pia kupata milioni 400 na vyuma vilivyokaza si rahisi na hata milioni 200 tu sijui kama atapata mtu hasa ukitilia maanani hana hati miliki.
Hauzi milioni 400. 400 hiyo ni umbali wa mita kutoka barabara kuu mpaka kufikia ilipo nyumba yake. Milioni 400 kwa awamu hii hata huko Mbezi Beach unapata. Labda ingekuwa wakati wa Mkwere pesa za kubwaga lakini siyo wakati huu.

Tatizo hataki kuweka bei halafu naona keshatibuka hapo juu tayari.
 
Huna hela wewe , Mwenye hela hana maneno mingi
Hela haziokotwi ndugu yangu hasa awamu hii. Kuulizia bei ndiyo limekuwa tatizo? Niko siriazi na natafuta nyumba huu karibu mwezi wa tatu sasa.

Nina hela kabisa ziko tayari tayari kwa ajili ya kununua nyumba. Yeye aseme tu bei nione kama bajeti yangu inakubali na kama ni parefu sipawezi napo siyo neno...
 
Shukrani Mkuu mie nilipoona 400m nikajua ndiyo bei kumbe ni umbali kutoka ilipo lami, nilichemka.

Hauzi milioni 400. 400 hiyo ni umbali wa mita kutoka barabara kuu mpaka kufikia ilipo nyumba yake. Milioni 400 kwa awamu hii hata huko Mbezi Beach unapata. Labda ingekuwa wakati wa Mkwere pesa za kubwaga lakini siyo wakati huu.

Tatizo hataki kuweka bei halafu naona keshatibuka hapo juu tayari.
 
Jamani someni vizuri ana maana nyumba iko umbali wa mita 400 kutoka barabara ya lami siyo milioni 400 kama ni hivyo asingesema mpange bei
Kwahiyo kasema bei yake shingapi?
 
Nyumba yangu nauza kwa uamuzi wangu iwe mikopo au nikagawe au nikupe au nitoke na mkeo its none of your business.
Huna jeuri ya kutoka na mke wangu we dalali feki...

Hamna muuzaji anayejishaua kama dalali...

Unamharibia biashara mwenye nyumba yake kwa kutaka cha juu bila kutoka na jasho...

Pambana na hali yako...
 
Humu wamejaa school dropouts waliokimbia umande kazi kuleta ujuha kwenye mambo serious

Siyo dropouts tuu Brother. Wengi wana degree kabisa ila ndo hivyo our education system is pouring rubbish on streets. Atakuja hapa atatafta loop hole ili aweke comment yake apate like aridhike au aanzishe ubishi tuu. Tanzania is a Zombie Nation. I do believe that Miseducated person is more dangerous than Uneducated. Am young am in problems and urgently I want to sell my unfinished house yet mtu anakuja kufanya jokes. I stated text me or call nimeweka Number kabisa, nime expose my number kabisa kwa mtu serious na watu kadhaa wamenicheki already and Asanteni sana. Inakera inakasirisha. Kama nimekujibu vibaya am sorry. Kama umeweka Offer yako hata kama ni 10m asante kama inalipa ill reply na kama hailipi ill tell you. Sijafikisha 30yrs na population yetu vijana ni zaidi ya 1/2 ya watu wote Tanzania na I would like to say we are dumb. And we make jokes in life and anything that comes infront of us.
 
Dumbest national in the World itapendeza.

Kingereza cha nini bosi wakati una Emergency
Nampa insight aliyesema anataka kununua nyumba kwa 20m. Mm siyo dalali nyumba ni yangu na ukija kuichek utanikuta na siku unalipia hela inakuja kwenye acc yangu. Acha kuongea kama huelewi! Siweki bei ili mtu achukue hapa atafte mteja kwa bei yake apate cha juu. Na pia kukwepa madalali na % yao. Next time don’t waste your precious minutes trying to satisfy others.
 
Siyo dropouts tuu Brother. Wengi wana degree kabisa ila ndo hivyo our education system is pouring rubbish on streets. Atakuja hapa atatafta loop hole ili aweke comment yake apate like aridhike au aanzishe ubishi tuu. Tanzania is a Zombie Nation. I do believe that Miseducated person is more dangerous than Uneducated. Am young am in problems and urgently I want to sell my unfinished house yet mtu anakuja kufanya jokes. I stated text me or call nimeweka Number kabisa, nime expose my number kabisa kwa mtu serious na watu kadhaa wamenicheki already and Asanteni sana. Inakera inakasirisha. Kama nimekujibu vibaya am sorry. Kama umeweka Offer yako hata kama ni 10m asante kama inalipa ill reply na kama hailipi ill tell you. Sijafikisha 30yrs na population yetu vijana ni zaidi ya 1/2 ya watu wote Tanzania na I would like to say we are dumb. And we make jokes in life and anything that comes infront of us.
Acha nao Mkuu , serious buyer will sail to you .. Achana na hawa wamiliki wa Simu za tecno na bundles za chuo kazi kupiga domo humu
 
Back
Top Bottom