Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akafanye yake au siyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akafanye yake au siyo
Acha ubishi weka bei yako watu wote waone..... Kuna haja ya mtu akitaka kuuza kitu aende kwanza asome customer serviceNdiyo nimeweka Number hapo juu. Siku njema ... NB: sijawahi kumlalia mtu mimi sina hizo tabia chafu
Acha ubishi weka bei yako watu wote waone..... Kuna haja ya mtu akitaka kuuza kitu aende kwanza asome customer service
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 1170768
Wewe huyuu ndo unataka niweke bei ununue nyumba yangu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Kapambane na hayo matunda yako kwanza ukikua ndo uje kwenye uzi wangu ... stpd
Mkuu nenda kajaribu RADIANCE FINANCE fanya kama una google hilo jina upate contacts huenda ukapata mkopo.Nyumba haina hati na nimeambiwa it will take up to 3months kuipata na million 2. Mm nina dharura. Ila kama naweza kukopesheka kwingine kwa riba na nikapewa robo ya bei ya nyumba ill pay. Ni dharura ndo maana
We una nyodo, kwan muuza matunda hawezi kuwa na ela yakununua uho uchafu wako kaka anguView attachment 1170768
Wewe huyuu ndo unataka niweke bei ununue nyumba yangu? [emoji23][emoji23][emoji23]. Kapambane na hayo matunda yako kwanza ukikua ndo uje kwenye uzi wangu ... stpd
Niweke bei mie ndiye muuzaji?Weka bei
We una nyodo, kwan muuza matunda hawezi kuwa na ela yakununua uho uchafu wako kaka angu
Nina 35m mkuu
Kukukuta na kuweka hela kwenye account yenye jina lako ndo justification ya umiliki wa nyumba? Weka bei hapa wewe dalaliNampa insight aliyesema anataka kununua nyumba kwa 20m. Mm siyo dalali nyumba ni yangu na ukija kuichek utanikuta na siku unalipia hela inakuja kwenye acc yangu. Acha kuongea kama huelewi! Siweki bei ili mtu achukue hapa atafte mteja kwa bei yake apate cha juu. Na pia kukwepa madalali na % yao. Next time don’t waste your precious minutes trying to satisfy others.
Ndio muuza matunda na ww hamuwezi kununua nyumba yangu. [emoji3][emoji3][emoji3]. L
Hiyo ni mita 400 kutoka barabarani mkuu siyo mikioni 400[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 400M ni hela ya dharura kweli???..[emoji849][emoji849][emoji849]
Jamani someni vizuri ana maana nyumba iko umbali wa mita 400 kutoka barabara ya lami siyo milioni 400 kama ni hivyo asingesema mpange beiOh kumbe anauza 400M? Bei reasonable kabisa hiyo
Biashara za Wabongo ziko hivyo. Utafikiri mnauziana ngada [emoji16][emoji16][emoji16]Umeona ukiweka bei hapa utakosa wa kumlalia?