Jamani nimekutana na hii Kadhia. Wanawake kuweni wasafi basiii Khaaaaah!

Jamani nimekutana na hii Kadhia. Wanawake kuweni wasafi basiii Khaaaaah!

ndo ukome kwenda kwenye hayo madanguro bubu yalojificha kwenye kichaka cha saluni
 
Haya ni mapatano ya mteja na mtoa huduma. Mapatano haya si lazima yafanike eneo la tukio
Sijakataa kuwa ni legal business but issue ipo kwa watoa huduma ambao wamegeuza kuwa sehemu ya kutoa huduma illegal
 
Mwanaume kufanya scrub hui ni umama
Mwanaume unachukua gunia unakata kipande unajisugulia na gwanji
 
Aisee shemeji yako anapika hapa,harafu na yeye ana makucha hayo kama Dragon,what are you trying to say?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanuse zile kucha zake
 
Mtu kakutana na nama mmoja mchafu, akafikri wamama wote ni wachafu. Pole yake.
 
na kwenye kujichambisha pia kote kote sjui inakuwagaje na yale makucha......yao....😳😳😳??...hawajihumizagi na makucha yale...???
 
Back
Top Bottom