Jamani nimekutana na hii Kadhia. Wanawake kuweni wasafi basiii Khaaaaah!

Jamani nimekutana na hii Kadhia. Wanawake kuweni wasafi basiii Khaaaaah!

Akizitumia hizo kucha kwenye sita kwa sita wala hutaona zinanuka bali zinanukia.Kucha zinakazi yake usifikiri wao wajinga, labda waboreshe tu usafi.
 
Dah! yani nimejikuta nachekaaa[emoji23][emoji23]
Pole sana yani unawezakuona mdada kapendeza kumbe hakuna lolote
 
Hahhahah ishawahi nikuta hii sema alikua kinyozi wa kiume....lakini mkuu wewe si umemkataa dada uliemuimport toka dar ona sasa yanayokukuta.
 
Wewe wa mkoani acha kutusumbua. Kila siku unalalama. Vingine vunga
 
Back
Top Bottom