Jamani nimekutana na hii Kadhia. Wanawake kuweni wasafi basiii Khaaaaah!

Jamani nimekutana na hii Kadhia. Wanawake kuweni wasafi basiii Khaaaaah!

Huko ulipokula umejuaje hakukatakata chakula huku jikoni inanuka kinyesi?
 
Kumbe hata 'nya' ya mwanamke huwa inanukaga? Nilidhani ni kubwa ya kwetu tu wanaume
 
Aisehhh nakumbuka jamaa mmoja nae alilalamika kama we we Ila yeye ilikua ni mama muuza mmoja hvi yani makucha mikono yote halafu ndio anashughulika sana anakata kata mboga yani jamaa alitapika baada ya kugundua pale kumbe anamtoto mchanga
 
Aisehhh nakumbuka jamaa mmoja nae alilalamika kama we we Ila yeye ilikua ni mama muuza mmoja hvi yani makucha mikono yote halafu ndio anashughulika sana anakata kata mboga yani jamaa alitapika baada ya kugundua pale kumbe anamtoto mchanga
Aiee shida sana
 
Kama unavojua kesho ni J3. Wenyewe mnaita Blue monday.

Nimetoka zangu church mida ya saa 7 nikapata msosi hapohapo church kuna canteen mradi wa akina mama. Then nikaseme niende Salon nikafanye Shaving kidogo na Scrub. Si unajua kesho J3.

Flesh. Nikaingia salon fulan ni Classic kwa mazingira ya huku mkoani. Kanyolewa Panki la kiafande then nikaingizwa chobingo kwa ajili ya kufanyiwa usafi wa uso.

Akaja dada mmoja mashaallah kwa ajili ya kunihudumia.
Nikaaa kwenye kiti akanifunika apron akaanza shughuli zake. Wakati anaendela akani excuse kuwa anatoka mara moja pls so nimsubirie.

Akaniacha na mascrub usoni. Kama baada ya dakika 7 hadi kumi akaja huku kachangamaka. Akaniambia alienda kuongea na boss wake maramoja so alikuwa anamkbadhi office. Nika mwambia OK.

Kumbe yule dada alikua Toilet bwanaaaaaaa
Daaaaaaah ili anapitisha Vidole vyake kwenye pua zangu yani nimesikia harufu ya kinyesi kikaliiii kwenye kucha zake. Nimekasirika balaaa

Kumwambia nashindwa, najibaraguza hata aniaache yeye anakomaa tuu. Ikabidi nimtume anunue vocha nina emergency. Akaenda kununua ikabidi nimuombe dada mwingine anioshe.

Khaaaaaaaaaaaa. Wanawake mnafuga makucha ya nini??? Mnauza Unga?? Au nyie majini??

Unakuta mwanamke kama huyo ndo mke anakatakata Nyanya aunge kwenye mboga nile mimi na watoto wangu. Kweli??,,??

Urembo uswazidi nguvu kiasi hicho jamani.


Huyo alikufanyia makusudi tu kwani alitaka utapike kwa sababu alishajuwa ulikwenda kula msosi wa nguvu baada ya misa na yeye alikuwa na njaa kwa sababu hukumpa offer.
 
Back
Top Bottom