Jamani nimekutana na hii Kadhia. Wanawake kuweni wasafi basiii Khaaaaah!

Mwanaume mzima kuogopa harufu ya kimba kwenye makucha ni umama mwanaume unakamata vidole vyake unavinyonya mpka harufu iishe kwenye makucha ili akipitisha mkono tena usisikie chochote samahan bro this s according to uzi wa umama
 
Whatever ila kaa ukijua nyuzi zako zote kujisifia una hela na kusimanga wanawake ,huna mpya,hii sio fb

Mwanaume wa mkoani na scrub wapi na wapi eti kisa kesho j3 kazini aiseeee
Sasa nimejisifia wapi NumbisaMimi sijasimanga wanawake. Sijui ulitaka nipresent vipi hili suala
 
Ukianzishwa uzi kuhusu salun na scrub utaona wanaume wengi wakidhihaki huduma hio na kusema huwa hawapend huo ujinga ila hapa wa kwanza kutoa experience zao
Mwanaume wa mkoan kufanya scrub huo ni umama tena umama haswaaaa!
 
Whatever ila kaa ukijua nyuzi zako zote kujisifia una hela na kusimanga wanawake ,huna mpya,hii sio fb

Mwanaume wa mkoani na scrub wapi na wapi eti kisa kesho j3 kazini aiseeee
Numbisa kumbe una primitive mind sana. Yani huduma ya sh. Elfu 3 ndo kuwa na hela?, au kwenu huko scrub ni milioni???? Sikujua kama ndo hiki una maanisha. Kumbe scrub ya elfu 3 ni anasa. Ila nyie kuapaka rangi kila week, kuritouch nywele, kuoshwa miguu hayo hamyaoni???

Numeo ana kazi kweli kweli
 
Mwanaume mzima kuogopa harufu ya kimba kwenye makucha ni umama mwanaume unakamata vidole vyake unavinyonya mpka harufu iishe kwenye makucha ili akipitisha mkono tena usisikie chochote samahan bro this s according to uzi wa umama
Ahaahhaah daaah
 
Upendo? Huu muda mwingine unaambatana na UNAFIKI sana.
Mtu anaweza kujifanya tu anakupenda machoni lakini moyoni anajua yeye jinsi anavyokuongopea.
Ila Chuki,Chuki ni REAL.
Yaani Mtu akikuchukia kakuchukia kweli.
 
Bosii hiii ina maana gani? As this Thread is concerned
Upendo? Huu muda mwingine unaambatana na UNAFIKI sana.
Mtu anaweza kujifanya tu anakupenda machoni lakini moyoni anajua yeye jinsi anavyokuongopea.
Ila Chuki,Chuki ni REAL.
Yaani Mtu akikuchukia kakuchukia kweli.
 
Naona infirior complex. Yani kuna kitu kinakufanya uwe mnnyonge sana. Ni kama mtu kasimama kasema mm siwezi kuoa mke mwenye elimu ya darasa la saba. Af ww ndo una elimu hiyo.
Ukianzishwa uzi kuhusu salun na scrub utaona wanaume wengi wakidhihaki huduma hio na kusema huwa hawapend huo ujinga ila hapa wa kwanza kutoa experience zao
I will check [emoji818] u DM tuyajenge
 
Back
Top Bottom