Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
We ni ke bhana, but kiukweli kama anamakucha marefu lazima anuke mavi tu, hamna ..wanawake wa nyakati hizi mnafanya mambo kwa kufuata mkumbo.Ila jamani wanaume wa siku hizi tunalalamika sana. Kila ukiperuzi majukwaa ni wanaume tu wanalalamika.
Khaa mpaka imekuwa kero sasa. Wanaume tukomae jamani tupambane na hali halisi mbona tunalia lia kila uchwao?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]