harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,907
Mwanaume wa mkoan kufanya scrub huo ni umama tena umama haswaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume wa mkoan kufanya scrub huo ni umama tena umama haswaaaa!
You're up next buddy! prepare for it.Aisee shemeji yako anapika hapa,harafu na yeye ana makucha hayo kama Dragon,what are you trying to say?
Ninadhani tuwe wakweli jamani. Kuhusu suala la usafi sisi bado sanaaaa. Maeneo mengi yanayotoa huduma za afya, chakula, na mapambo (kunyoa, kuchua, n.k) yana changamoto nyingi. Ukiachilia mbali umasikini ambao ndiyo kisingizio cha wengi, bado kuna suala la uelewa na kutojali.
Ukitaka kuthibitisha kuwa shida kubwa ni uelewa, tazama hizo saluni za "kisasa", utakuta kachumba kamepambwa haswa, wall papers zinakuzubaisha mpaka unasahau kijiji ulichotoka, viti vya kisasa na mambo kama hayo. Lakini, huwa ninajiuliza, hawa vijana wanaohudumu humo mbona hawavai gloves? Tena ziwe zile za kutumia kwa tukio moja na kutupa. Tazama huyo dada hapo kwenye post, si anaweza kumuambukiza mteja magojwa jamani? Pia, angevaa gloves, mteja asingehisi harufu ya mabaki ya chakula. Aidha, fikiria vile wanasigina uso wa mtu kwa mikono mitupu, hii si hatari kwao pamoja na wateja. Hapo usizungumze kuhusu vitaulo, mh!
Safari ni ndefu
Hauna hata neno??Sawa tumesikia mkuu
Hauna hata neno??
Sina mkuu
Nadhani ningetumia Aiseeee. Ingekaa poaWewe ni mwanaume?kama ni mwanaume acha kutumia neno khaaa.
Hahaa unalishwa kinyesi " Jiandae kupata kipindu pinduAisee shemeji yako anapika hapa,harafu na yeye ana makucha hayo kama Dragon,what are you trying to say?
Mimi sijasimanga wanawake. Sijui ulitaka nipresent vipi hili sualaUnatabia za kijames delicious sana Full kujisifia na kuja na nyuzi za kusimanga wanawake. Hope sio mtoto wa chupa wewe.
Akili mbovuAaah Aiseee
Sipendi lingine nikishakatwa nywele zangu. Mengine nitafanyia nyumbani.
Hahaha!