shekhe salama?
Niko salama mkuu,
Nimenusurika kidogo sana kulizwa na huyu jamaa,ilikuwa ninunue bata mzinga toka kwake kwa ajili ya shamba langu. Sasa ngoja nitafute kwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shekhe salama?
Aiseee kumbe katapeli wengi
He was among the prominent figures kwenye hili jukwaa letu atafanya sasa na wengine kama wewe,Chasha,Mgombezi n.k muogopwe hata kwenye dili za ukweli na muhimu
...., Halafu hii sio hasara kidogo, ni hasara kwa taifa zima,kwa sababu itafikia mahali online b/ness itakuwa haiaminiki tena.
Miezi mitatu tu tayari umekuja kumtangaza hapa je ingekwa miezi sita si ungefika hadi aljazeera?
Kweli kufanya biashara na masikini yataka moyo!
Haya mtaji hapa huyo mtu wako
Soma sheria za jf juu ya ufanyaji biashara ya hspa,
Swali: Je uliwahusha mods kabla ya kuanza hiyo biashara?
Tehe tehe
Wakuu nashukuruni sana kwa mawazo yenu. Kiukweli huyu jamaa nimeamua kumsamehe na kuendelea na maisha. Nilijaribu kumsihi sana kama ndugu kuwa uaminifu ndiyo mtaji mkuu wa mjasiriamali ila naona hakuelewa.
Siku zote nitapenda asipate matatizo ili aweze kupata moyo wa kujutia na kujifunza maana inawezekana ameanguka kwenye tamaa na bado hajajitambua.
Nitaomba wale wote tuliotapeliwa tumsamehe kama ikiwezekana na tujipange upya maana hapa jamvini kuna watu wengine wengi tunaweza kufanya nao hii biashara ila kikubwa niwaombe uaminifu ili hizi online b/ness zizidi kuaminika hapa jamvini
Mwishoni kabisa nitaomba hii iwe changamoto kwetu wote (wanunuzi na wauzaji) na tusife moyo kwenye kufanya hizi biashara za online maana kuna theorem moja ya hesabu inasema "a singular cited example can't prove the entire theorem". Mtu mmoja mwenye tabia mbaya asiharibu mambo yetu mazuri. Naamini hii ni case ya kwanza kabisa kutokea kwenye jukwaa dogo la ujasiriamali
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki JF, Mungu bariki wajasiriamali
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Miezi mitatu tu tayari umekuja kumtangaza hapa je ingekwa miezi sita si ungefika hadi aljazeera?
Kweli kufanya biashara na masikini yataka moyo!
Haya mtaji hapa huyo mtu wako
Soma sheria za jf juu ya ufanyaji biashara ya hspa,
Swali: Je uliwahusha mods kabla ya kuanza hiyo biashara?
Kumbe Yericko Nyerere ni kilaza hivi?Nimemdharau kuanzia leo.