Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitomai , laki 3?!!! Kadhurumu? Hii nayo kali, sijawahi kukutana physically na huyu jamaa lakini anaonekana kama dalali mkubwa hiviii, kwani hana ofisi jamani? Naombea awe amebanwa tu na ishu flani labda kifedha au vinginevyo lakini akiwa vizuri akutafute. Btw, mkuu laki tatu mbona kitu kidogo sana mkuu wa kazi, wengine tukihesabu tulizopoteza mbona tunaweza kuchanganyikiwa, tena sisi wazee wa online ndiyo kabisaa tunafanya biashara na watu ambao hataki hata kukwambia jina lake nani, anwani yake anasisitiza anonimity lakini bado mtu unajitosa ukijua kuwa ukipoteza basi, ndiyo mambo ya mtandaoni mkuu! Nakumbukwa nimewahi kukutana na member mmoja wa JF yuko Arusha, alikuwa anauza bidhaa flani nikazipenda, katika maongezi kila mtu hamwamini mwenzie, nani aanze kutuma, ikabidi nimtumie tu over 1m, tena akawa ananitania "mwanangu umeliwa" lakini nilipata mzigo wangu na mpaka leo ni jamaa yangu mzuri japo hatujakutana physically!Bado siamini kilichotokea. Huyu jamaa nilishawahi kufanya naye biashara kama mwaka umepita. Kama miezi mitatu imepita alikuja kaka yangu akaona ile mifugo niliyoagiza kwa huyu jamaa akatamani naye aifuge hivyo akaniomba nimwagizie halafu nimtumie maana yeye anaishi Lindi
Nikaongea na huyu mjasiriamali akanihakikishia mzigo anao ndipo tukakubaliana nimtumie pesa kama laki 3 hivi ili autume. Baada ya kutuma hela jamaa akaanza sababu mara amekosa basi na hatimaye anauguza hadi leo nikimpigia simu hapokei wala hajibu SMS zangu.
Namtahadharisha kuwa dhuluma siyo nzuri kwenye maisha na atambue kuwa yatakuja kumtokea pabaya maana ameweza kunifanyia hivi mimi ambaye sitaweza kumfanya kitu ila atakuja kumfanyia mtu ambaye anapenda revenge. Mimi naamini zaidi kwenye KARMA
Asanteni
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
kama laki 3 kitu kidogo umlipie kitomali. then mbona kama unamtete vile? Au wewe ndiyo kitomali Mwenyewe?Kitomai , laki 3?!!! Kadhurumu? Hii nayo kali, sijawahi kukutana physically na huyu jamaa lakini anaonekana kama dalali mkubwa hiviii, kwani hana ofisi jamani? Naombea awe amebanwa tu na ishu flani labda kifedha au vinginevyo lakini akiwa vizuri akutafute. Btw, mkuu laki tatu mbona kitu kidogo sana mkuu wa kazi, wengine tukihesabu tulizopoteza mbona tunaweza kuchanganyikiwa, tena sisi wazee wa online ndiyo kabisaa tunafanya biashara na watu ambao hataki hata kukwambia jina lake nani, anwani yake anasisitiza anonimity lakini bado mtu unajitosa ukijua kuwa ukipoteza basi, ndiyo mambo ya mtandaoni mkuu! Nakumbukwa nimewahi kukutana na member mmoja wa JF yuko Arusha, alikuwa anauza bidhaa flani nikazipenda, katika maongezi kila mtu hamwamini mwenzie, nani aanze kutuma, ikabidi nimtumie tu over 1m, tena akawa ananitania "mwanangu umeliwa" lakini nilipata mzigo wangu na mpaka leo ni jamaa yangu mzuri japo hatujakutana physically!
kama laki 3 kitu kidogo umlipie kitomali. then mbona kama unamtete vile? Au wewe ndiyo kitomali Mwenyewe?
Shindwa na ulegee kabisa.Hahahahaa, nitake radhi!
Tell them! wanaowatetea wezi nao ni wezi.Mwizi ni mwizi tu hata kama kachukua kidogo ni mwizi. Kama wote tukiendekeza haya tutaitwa kijiwe cha wezi. Mlizane uko uko mlikozoea. Hapa ukiiba utaitwa mwizi hata kama elfu 10. Wenyewe mnashuhudia watu wanahangaika kutafuta mtaji, mkopo sijaona mfadhili anajitolea kuwapa leo hii mtu akimbie na hela yao halafu wanyamaze? Hii ni aibu, yeyote anayetetea hili awalipe waliobiwa la hii iwekwe sticky pale juu. Merry Xmas to You all!
Miezi mitatu tu tayari umekuja kumtangaza hapa je ingekwa miezi sita si ungefika hadi aljazeera?
Kweli kufanya biashara na masikini yataka moyo!
Haya mtaji hapa huyo mtu wako
Soma sheria za jf juu ya ufanyaji biashara ya hspa,
Swali: Je uliwahusha mods kabla ya kuanza hiyo biashara?
Tell them! wanaowatetea wezi nao ni wezi.
Kitomai , laki 3?!!! Kadhurumu? Hii nayo kali, sijawahi kukutana physically na huyu jamaa lakini anaonekana kama dalali mkubwa hiviii, kwani hana ofisi jamani? Naombea awe amebanwa tu na ishu flani labda kifedha au vinginevyo lakini akiwa vizuri akutafute. Btw, mkuu laki tatu mbona kitu kidogo sana mkuu wa kazi, wengine tukihesabu tulizopoteza mbona tunaweza kuchanganyikiwa, tena sisi wazee wa online ndiyo kabisaa tunafanya biashara na watu ambao hataki hata kukwambia jina lake nani, anwani yake anasisitiza anonimity lakini bado mtu unajitosa ukijua kuwa ukipoteza basi, ndiyo mambo ya mtandaoni mkuu! Nakumbukwa nimewahi kukutana na member mmoja wa JF yuko Arusha, alikuwa anauza bidhaa flani nikazipenda, katika maongezi kila mtu hamwamini mwenzie, nani aanze kutuma, ikabidi nimtumie tu over 1m, tena akawa ananitania "mwanangu umeliwa" lakini nilipata mzigo wangu na mpaka leo ni jamaa yangu mzuri japo hatujakutana physically!
Asante Mkuu kwa ufafanuzi, Kitomai adhurumu mtu laki3 ilikuwa hainiingii kichwani, ungeniambia kuanzia mill30 na kuendelea ingekuja kidogo akilini, nimeshachunguza mtu anayeuza bata humu ndani ni kitomari2, siyo Kitomai, sasa wote mnaoropoka mumtake radhi Kitomai, mnamchafuliana majina bure wakuu, wengine wanashabikia tu bila hata kufanya kautafiti hata kidogo wanapanua madomo tu, Kitomai hajawahi kuuza bata humu JF, Kitomari2 ndiyo anafanya biashara hiyo na mabango yake yapo mengi tu humu!
cc: Eberhard Mama Joe FairPlayer Mamndenyi gayo Kennedy neggirl
Ndugu yangu CYBERTEQ acha ukurupukaji, umekuja bila kupitia uzi vizuri ukataja watu wasiohusika halafu unatuambia tumtake radhi. Naomba uwe makini katika kuchangia uzi. Mimi binafsi ndiyo mwanzilishi wa huu uzi na niko makini kuliko unavyoweza kufikiri. Hapa hatuna haja ya kumchafua mtu ila tunaweka kumbukumbu sawa kuwa utapeli ni sumu ya ujasiriamali.
Asante
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums