Jamani nisaidieni real story imenikuta leo hii sasa hisia zitaushinda mwili, maamuzi yatakua magumu mno

Kuwa wa kiume dogo,nenda kachukue damu yako mwanamke anakuleteaje pigo za kibabe.?
 
Enzi nasoma Udsm shule ilikuaga ngumu kiasi kwamba hata wanawake nilikua nawaona kama wanaume wenzangu wanaopenda kuvaa skirt.... Nimeamini udsm siku hizi ni chuo cha kata, madogo wanawaza tu kuchakata mbususu kama Rikiboy
 
achukue maamuzi yepi mengine, mtoto ashazaliwa hayo mengine mbwembwe tuu,, ameshaona una kimumuhe na karoho kahuruma hivi.. atakupelekesha usipokuwa makini.. we soma kwanza achana na mapenzi unajichanganya tuu,, ukidisco hapo ndo utajua hujui.. kula kitabu kwanza dogo!!!
 
miaka 23 uzoefu kwenye mapenzi miaka Saba. vijana nawashauri mpunguze haya mambo. yanawaharibia sana future zenu.
 
Huyo ni hasira tu Yan dem mpka anakushirikisha kumpa jina mtoto afu ety hatak umuone....

Hahahahahahahaha ACHA nicheke kwanza kuwa mpole huyo atarud tu mwenyewe kwny mstari
 
Unasoma nn hapo UDSM unashindwq ku summarise unatuandikia mpaka sms. Andika kwa ufupi hoja nn siyo kuleta magazeti yaliyojaa dibaji
 
Huo uandishi na unasema upo Chuo? Chuo madrasa au chuo gani? Na akili hizo kweli utakakuwa chuo gani?
 
Trust me bwanamdogo huyo mtoto sio wako.
Utajiumiza bure na atakuona wewe ni mpumbavu tu unajiua kwa kung'ang'ania damu ambayo sio yako.

Anaelekea kuolewa huyo kakutafutia sababu tu, muulize cheti cha mtoto kimeandikwa jina gani??
 
Ongea na wazazi wako wajulishe. Acheni kujifanya mmekomaa akili. Wazazi watawasaidia.
 
NI hasira zile mpe muda apoe na arudi kwa heshima. saivi piga kitabu.
 
Mapenzi yatakuharibia maisha chunga sana uo umri mjomba pengine mtoto si wako we kuwa mwanaume kauli moja, mwambie kama mtot ni wangu nitafute kama si wangu na usinijue na futa namba yangu drama sitaki fullstop tena mchenjie haswa , tafuta namba za marafiki zake kuujuwa ukweli na kupata updates then soma tafuta hela una majukumu now kuwaza hakusidii
 

Jitafute kwanza. Weka shule mbele kwanza, mtoto utamlea tu na kumuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…