Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Jadda huwa nawaza wewe ni mbabe Sana!Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Hawana muda wa kusoma au kutofautisha namba (T na STK au DFP au SU). Wao wakiona gari tu wanajua la kwako.Wanawake wengi hata ukiwa na STK wanachanganyikiwa
Lazima angeamini tu atafanyaje sasa na umeshampa vipande vyake🤣Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake
Mhm na wewe acha ukorofi😁Tatizo kuna wanawake wanajirahisisha sana acha wachezewe tu yaani mtu anajishusha thamani anatoa mzigo kisa lifti ya gari? Yaani hata kama ingekuwa ni lifti ya ndege mimi eti mwanaume aniombe mzigo kisa kanipa lifti hayo majibu ambayo ningempa asingeamini masikio yake