Jamani this is serious, nchi tajiri za Kiarabu kuwa ombaomba Afrika by 2030

Basi ana mibuyu mingi, mimi huziona za kumsifia mtu aliyemtaja humo.
 
Hivyo ulivyotaja ni 0.0000001% ya kiasi cha mafuta kinachotumika duniani at any given time
 
Hivyo ulivyotaja ni 0.0000001% ya kiasi cha mafuta kinachotumika duniani at any given time
Usione were una kigari chako kidogo unafanya service,ya kumwaga oil, kila baada ya miezi sita wakati malori, ma semi trailer, mabasi, mitambo mikubwa ya ujenzi, kila baada ya safari moja ya kazi, inabadilishwa lita kadhaa za oil, kunatumika drum(pipa ndogo)kwa kufanyia service.
 
Halafu tambua, motor za umeme zinatumia grease kidogo sana na hazitumii oil, pia transmission zake ni zile za CVT yaani Cable/ belt continuously variable transmission, haitumii gear box lenye magia, hivyo hazitumii oil pia
 
Si ajabu hata kigari kibovu hana
 
Halafu tambua, motor za umeme zinatumia grease kidogo sana na hazitumii oil, pia transmission zake ni zile za CVT yaani Cable/ belt variable transmission, haitumii gear box lenye magia, hivyo hazitumii oil pia
Train(gari-moshi) za mwanzo zilikuwa zikitumia makaa ya Mawe kama nishati ya Kuziendesha, baadaye zikaanza kutumia nishati ya mafuta, tuliamini ndio mwisho wa matumizi ya makaa ya mawe. Hivi sasa makaa ya mawe yana thamani zaidi kuliko kipindi cha train za nishati ya makaa ya mawe.

Halafu pia, ujue nchi nyingi zenye mafuta pia zina madini ya aina tofauti ardhini ambayo mpaka sasa hawajayagusa, mbali na viwanda walivyo navyo. Na vile vile ni nchi zenye idadi ndogo sana ya watu. Ambapo wakiwa na rasilimali ndogo tu, kwao ni kubwa,kutokana na idadi ndogo ya watu katika nchi hizo.
 
Mnaondelea kuota ndoto za mchana mko wengi sana hasa kipindi hiki cha Jiwe. Kwa kifupi umasikini utazidi kuwa mkubwa kwa kila mtu kadri siku zinavyosonga, hadi mfumo mpya wa dunia utakapokuwa umekamilika yaani NWO.
 
Hata kama, bado waarabu watapata tabu sana come 2030, acha kuwafariji bhanaa..; na ma amber rutty toka Saudia watajazana sana Sinza.., hahah
Wapuuzi huwa wanapeana tano sana katika maneno yao

Ikiwa nyie wa Dunia ya tatu,ndio mnajua leo!!!

Vipi wao waliokuwa kimaendeleo mbele yetu zaidi ya mara Alfu!!!

Nyie huwa watu wa ajabu ajabu sana

Buhahahahahaha
 
Mnaondelea kuota ndoto za mchana mko wengi sana hasa kipindi hiki cha Jiwe. Kwa kifupi umasikini utazidi kuwa mkubwa kwa kila mtu kadri siku zinavyosonga, hadi mfumo mpya wa dunia utakapokuwa umekamilika yaani NWO.
Hizo propaganda za NWO peleka Jamii intelligence
 
Hata kama, bado waarabu watapata tabu sana come 2030, acha kuwafariji bhanaa..; na ma amber rutty toka Saudia watajazana sana Sinza.., hahah

Unadhani waarabu ni watu duni kama sisi weusi? Fuatilia history miaka elfu na zaidi iliyopita halafu fanya comparison ya babu zako weusi na hao waarabu kimaisha
 
Alinacha katika ubora wake.hivi kwani ukiwa unachukia kitu kuna chochote unachoongeza ktk maisha yako.Ama kweli ukiwa masikini hata namna yako ya kufikiri lazima iandamane ktk kuwachukia matajiri sijui kwa nini.Umasikini kweli ni laana.
 
Nakupa facts unasema ninachuki? Wewe ni masikini wa pesa na fikra pia
 
Inakuwaje ethiopia wameweza kutumia maji kuzalisha megawati 40000 za umeme huku sie daily tunapiga mark time na megawati zetu zisizpfika hta 10000
Ethiopia japokuwa wana zalisha umeme kwa wingi lakini hata 10000Mw hawajafika bado wanacheza kwenye 6000mw(kwa kuwapendelea). 40GW labda kwa South Africa.
 
Uvembewe vyote lakini usivembewe maharage akili hufubaa na mashuzi yake haya vumiliki, mkuu umebugi step kama kuvembewa kwako kumeamsha ndoto za nyegezi kuwa utapata watoto wa kiarabu sinza heri utafue sabani ya kujichuwa mapema

Kwanza ondowa maradhi akilini kuwa ipo siku ulimwenguni mafuta yatakosa soko futa ujinga huwo sababu hakuna mtambo wowote ule ulimwengini utafanya kazi bila kuhitaji mafuta hata huwo umeme hupozwa kwa mafuta

Pili usifikirie waarabu wakousingizini na kuota ndoto za mcahana kama waafrika, kwanza jiuulize hiyo stiegler's gorge mjenzi wa bwawa hilo ni nani ? Ukipata jibu ndio utajuwa muarabu ni nani
 
KAMA UNA WIVU NA WAARABU KANYE KWA MKWEO. HAO HAWATAKUWA MASIKINI MILELE UTAZEEKA UTAWAONA VILE VILE MATAJIRI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…