Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

wanaoleta post hizo mostly ni wahenga waliojikatia tamaa ndo maana unaona wengi ila vijana tupo...
 
Humu jf mdada mwenye umri mdogo ana miaka 32

Na humu jf mwanaume mwenye umri mdogo ana miaka 21...

Za kuambiwa changanya na zako....
 
Am 22 years old... Huwezi nishawishi nirud fb... Ety jF ni ya wahenga.. Toka 2015 naanza kiijua JF.. Sijajutia hata cku moja kuwa JF zaid ya various benefits nizipatazo humu
Kwakweli

Halafu vijana wengi hawajui Jf, wengine wanajua ila hawafatiii kabisa. Japo ni kweli wahenga wamejaa atleast ni 50% ,ikifatiwa na 30s ambao nahisi ni30% vijana tunaweza kuwa 20%

mimi Jf nmeijua tangu 2013 nikawa nasoma tu nikifungua acc inakataa... nikagundua haitaki watu wa90s ndio nikaamua kufake 80s
....
Katika social net niko nazo addicted ni Jf

Fb sijui naionaje...
 
Kwani wewe una "umli" gani?
 
Watu wamesoma kilomita humu mpk basi ila kwa kujibebisha sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…