Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can you be my number one ?Humu wahenga ndo wengi
Hakuna kitu kama hicho acha kuwaza mapenzi kuna mengi ya kufanya sawa eeenhe.... [emoji16] [emoji51] [emoji119]Mkuu mapenzi ni kila kitu. Hivyo vingne ni ziada tu.
NdioooKama ww [emoji23][emoji23]
Sana tuNa wamama kama wewe mpo pia
Mkuu mbona mm natimiza 21 hiv karibuniHumu jf mdada mwenye umri mdogo ana miaka 32
Na humu jf mwanaume mwenye umri mdogo ana miaka 21...
Za kuambiwa changanya na zako....
KwakweliAm 22 years old... Huwezi nishawishi nirud fb... Ety jF ni ya wahenga.. Toka 2015 naanza kiijua JF.. Sijajutia hata cku moja kuwa JF zaid ya various benefits nizipatazo humu
Hii kidogo ina ukweli ukweliHumu jf mdada mwenye umri mdogo ana miaka 32
Na humu jf mwanaume mwenye umri mdogo ana miaka 21...
Za kuambiwa changanya na zako....
Princes ariana kumbe nilikuwa nakuchukulia poa, ngoja nije tupange deals za maanaMkuu mbona mm natimiza 21 hiv karibuni