[emoji2] [emoji2] aisee. ..Mmeshafanya test one,,,,
Dah...kwahiyo huu ndiyo umli wako?ππππMiaka 22-27 katika kati hapo boss
Ni kweli usemalo ila namaanisha humu vibibi ni wengi mno cyo kama huko kwengine tunapo oneshaga nyagoKwakweli
Halafu vijana wengi hawajui Jf, wengine wanajua ila hawafatiii kabisa. Japo ni kweli wahenga wamejaa atleast ni 50% ,ikifatiwa na 30s ambao nahisi ni30% vijana tunaweza kuwa 20%
mimi Jf nmeijua tangu 2013 nikawa nasoma tu nikifungua acc inakataa... nikagundua haitaki watu wa90s ndio nikaamua kufake 80s
....
Katika social net niko nazo addicted ni Jf
Fb sijui naionaje...
Hahaaaa kweli kabisa mkuu. Viongozi na watu maarufu wapo wakina shoza sjui mgwira. zito . mayala. Mwiguru n.k ..wengne wameficha ID zao . usije shangaa MNA bebishana kwenye simu siku live kangi lugola huyu hapaaHumu nasikia mpaka mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wapo, tunatoa nao upupu kama kawaida
Dah...hakuna tatizo bana...nilitaka kujua tu umli wakoππππKwani kuna tatizo boss. Si ndiyo maana ya huu Uzi.
hahaha huyu hapa ....jf ni hatari sana ππHahaaaa kweli kabisa mkuu. Viongozi na watu maarufu wapo wakina shoza sjui mgwira. zito . mayala. Mwiguru n.k ..wengne wameficha ID zao . usije shangaa MNA bebishana kwenye simu siku live kangi lugola huyu hapaa
Saaaana mkuuKwakweli
Halafu vijana wengi hawajui Jf, wengine wanajua ila hawafatiii kabisa. Japo ni kweli wahenga wamejaa atleast ni 50% ,ikifatiwa na 30s ambao nahisi ni30% vijana tunaweza kuwa 20%
mimi Jf nmeijua tangu 2013 nikawa nasoma tu nikifungua acc inakataa... nikagundua haitaki watu wa90s ndio nikaamua kufake 80s
....
Katika social net niko nazo addicted ni Jf
Fb sijui naionaje...
kha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Princes ariana kumbe nilikuwa nakuchukulia poa, ngoja nije tupange deals za maana