Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

Vijana wengi kwanza ni wanaume wa Dar na madenti wategemea boom...
 
Ivi kijana wa 25 unatafuta mwenza mtandaoni ili iweje? Ni dalili ya kukata tamaa kua huwezi pata huko uliko
 
Dah...Ukurya shida kwenye kutamka lakini ukishindwa kwenye kuandika huo ni ujinga...mbona kiingereza hamkosei???😀😀😀
Mkuu mbona na uelevu wako unashindwa kuweka emoj unabaki kuandika 😀😀😀 ??

Weka emoji bana achana na huo ushamba.

Mbona simple tu kuweka [emoji2] [emoji2]
 
kwani wewe una miaka mingapi[emoji15] [emoji15] [emoji15] nahisi kama unataka uwajue wenzako[emoji23] [emoji23]
 
pia wote huku wana degree , masters , phd nk
 
pia wote huku wana degree , masters , phd nk , darasa la saba hakuna hapa jf
 
pia wote huku wana degree , masters , phd nk , darasa la saba hakuna hapa jf

Hivi kwani mtu akiwa kaishia la saba ndo hana akili kabisa au?sipendi mijitu inayorefer darasa la saba kama layman
 
Mkuu mbona na uelevu wako unashindwa kuweka emoj unabaki kuandika 😀😀😀 ??

Weka emoji bana achana na huo ushamba.

Mbona simple tu kuweka [emoji2] [emoji2]
Dah...ishu hapa ilikuwa kuchanganya r na l katika kuandika...suala la emoji ni la kibinafsi sana.. kwani linategemea mashine pamoja application unayotumia ...mie natumia Osborne 1 😀😀😀😀😀
 
Sasa mkuu r na l ni lakijamii?? Haya bana nahisi nimekushtua kama emoj hazisomi acha kuwaweka hao wadudu bosi maana kinachotokea huku kina haribu maana nzima ya post yako.
 
pia wote huku wana degree , masters , phd nk , darasa la saba hakuna hapa jf
Boss ni kweli usemalo . at least ukiwa form five nakuendelea ndo unaweza kuijua Jf below ya hapo ni wachache sana pamoja na hayo yote bado tunarudi pale pale. Wahenga wamejazana humu ..post zote za wenza ni 28 n above
 
Kuna mmoja huyo aliniacha hoi miaka 70 alikuwa ameshamaliza form six [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] humu si tu tuna parents na grandparents, hadi great grandparents wamo
 
sikuhizi kitanda changu GodoRo na net nimevihamishia humu jf ...huku ndio konki ya habari za kujifnza kujibudurudisha nakufariji akili na mwili...naanzaje kutoka sasa humu hiyo instagram ndio sitki kuiskia kabisa...nibaada ykuanza kuona nimezungukwa nastory za ajbu ajbu kila siku mobeto cjui alikiba kafnya nini ?? wakati watu wanatumia muda mwingi kudiscus maisha yao wenzao wanaishi maisha yao nawanavuna Pesa...maisha huanza baada ya miaka 40 MTU afike hapo halafu awe hana rasilimali tija yyote nyingine zaid ya simu tu aliyonayo rasilimali hizo kama ardhi .biashara kubwa nyumba na magari""
ndio atajua kwanini kuna watu huitwa mabwege nawatoto zao wakuwazaa
 
Ni kweli kabisa, hata ile thread ya kuulizia wimbo ulioumiss, nyimbo zinazotajwa nyingi ni za 80's, wahenga oyeeee!
Dah kweli kabisa. Yaani mle nilikutana na nyimbo 98% sijawahi hata kuzisikia
 
hahaaahaaaaa aiseeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…