Jamani Tuseme ukweli, humu Jf hatujuani ila watu wazima ni wengi kuliko vijana

I saw this coming...
Ndio muwafundishe kutoa maneno ya hekima,hivi kweli we unawasiliana na mtu halaf mnatukanwa tena kwao hakuna single mom na unatujua wanawake hatunaga vifua ,aliwah omba msamaha humu kaacha kutukana wanawake leo ,wanaume wengi wanaotutukanaga humu huwaga hawanaga mbele wala nyuma
 
Hahaha amelianzisha sasa analo...
 
Back
Top Bottom