donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Naogopa kuchangia thread yoyote humu jf inayohusu habari za mange maana huwa napewa ban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndio ujue akili ya watu kutoka upande ule,hata soni hawana,kumbe hata kichaa anaweza kuwa hero kisa anaisimanga serikali hawajui mwenzao anatengeneza idadi ya wanaomfuatilia huku insta pole zake huyu mleta uzi IQ yake ni sifuriTuombe radhi. Kweli watz tunaweza tukawa na hero mtukanaji kama huyo?!
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.

Only in Tanzania kichaa anakuwa Hero

Hero au heroine??Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Ushawahi kumnunua? Au ukiambiwa uorodheshe list ya mabwana zake utaweza?Kumbe una mzungumzia huyu kahaba anae jiuza. Pole San
Mtu na akili zake hawezi kumsifia hata kidogo,hizo comment ni za zero brains na bendera fata upepo.Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.
![]()
Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.
Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.
Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.
Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.
Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.
Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.
Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
ndo ushujaa wake sasa kusema mambo ambayo we hudhubutu kabisa kusemamange tyako tuuu yule hana lolote
unadhani kuwa watu hawana habari wanazo sana ndo wanao mpa uyo mange wako
tatizo ni sheria mbovu wee iseme tuu kama uwendi kunyia debe
Bora bashite kuliko huyo hero unaye msifiaNa Bashite ndio Hero au [emoji3][emoji3]?
Ushujaa wa kujificha nyuma ya keyboard.Mange ni mwanamama shujaa kuwahi kutokea Tanzania