Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Akili yake mbovu huyo...yani hiki kibibi akili ushuzi ndio hero.
Wewe ndiwe una akili mbovu, huoni kuwa uko jehanamu TZ, au labda kama uko TISS! hata ukiwa CCM ukaona umefika ni kutojitambua tu! Kama ukoo wako wanakula m.a.v.i, we uko TISS unakula piza, hujitambui!
 
6tag-1465827181-1292158528933119537_1465827181.jpg


Hata kama tuna uhaba wa mashujaa taifa hili bado Mange hawezi kuwa shujaa.

Maybe a hero among her fellow cowards.

Hii nchi inapaswa tufanye maombi ya kitaifa ikienda sambamba na Elimu ya lishe sababu idadi ya wajinga inatishia ile ya welevu.
 
kwa anaowagusa hawawezi mkubali ,maana ukweli ni kaa la moto.Ila ni mtu mhimu katika kupigania democracy na uhuru wa kutoa na kupata habari ..hivi asiye Mfollow mange nani wanaomdis pia ndo wa kwanza kusoma post kule insta.
 
Bi.tch is little more than a conceited, self aggrandizing, irrational, vulgar cunt. Only one other individual shares these same traits with her...Nyani "The Boss Lady" Ngabu.
 
Dahh nasikia kuna papuchi dar inanuka hatareee ila nimeikuta kwa mage nayo pale insta ...m ningejuaje
 
Nina wasiwasi na mtoa mada huenda dishi limeyumba au mwanaume wa kusogezwa uhero wa mange uko kwenye nini kwa habari za kukopi
 
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya kutosha ila baadye niliwaza sana hya maneno.

770267396df5dc6a2e855babd967a128.jpg


Yani kufa Mange Kimambi ni bora wafe watu million moja. Hii imenipa tafsiri kuwa mange kimambi kwa sasa anaplay part kubwa sana kama wistle blower hapa Tanzania.

Mange kimambe amekuwa kama chanzo kikubwa sana ya kuvujisha mambo ambayo yanatokea nyuma ya pazia ya serkali yetu.

Ujasiri wa huyu dada sio wa kawaida. MANGE KIMAMBI ANAUJASIRI WA KISHUJAA.

Sasa Amekuwa si mtu wa kupuuzwa kama ilivyokuwa apo zamani. Ametusaidia watanzania wengi (Tunaojielewa) kuconnect dots. Wengi tumefunguka macho na masikio yetu. Tumegundua kuwa serkali ilikuwa unatusikilizisha na kutuonesha matango pori.

Nakupa big up Dada Mange. Tupo kwenye hya mapambano pamoja. Keep it up. You are the Hero.

Wapo ambao hamta nielewa ila ipo siku mtaelewa.

Clauds walimchamba sana Mange, ila leo wanaona umuhimu wake.
Huo ushujaa wa huyo mvita bangi ni upi?
 
Wewe ndiwe una akili mbovu, huoni kuwa uko jehanamu TZ, au labda kama uko TISS! hata ukiwa CCM ukaona umefika ni kutojitambua tu! Kama ukoo wako wanakula m.a.v.i, we uko TISS unakula piza, hujitambui!
Kwahio wew Mange ndio Hero wako?

Hivi wew ni me au ke? Tuanzie hapo kwanza...
 
anaweza kuwa your hero ila si hero wa watanzania.tanzania si dar pekee na tanzania si wanaume wa dar pekee,tanzania si mitandao ya kijamii pekee,ndio tunaweza kuwa milion kumi tunaotumia mitandao ya kijamii

ni mtazamo tu,kila mtu anawake
 
Bi.tch is little more than a conceited, self aggrandizing, irrational, vulgar cunt. Only one other individual shares these same traits with her...Nyani "The Boss Lady" Ngabu.

Hey ho......can't keep my name [my dick rather] out of your mouth huh?
 
Nchi hii ina nyumbu wengi. Kipindi huyu Mange anawafanyia kampeni ccm....tulikuwa tunamlaumu. Alitukana sana wale wote waliotaka changes. Alimdhihaki sana Lowassa kwamba in mgonjwa WA kufa....Leo naambiwa huyu ni heroine!!!!! Huyu dada aliwafanya wote wanaoipinga ccm waonekane adui WA taifa.

Ndo maana hata CCM wanatuchezea akili kila kukicha wanajua tuna very very short memories!. Eti Mange?

Huyu in sour grapes tuu. Leo anajifanya kuongea kwa sababu Magufuli kawabana vilivyo. Maslahi Yao yamebanwa haswa! Na hapa ndo nasikitikia upinzani WA kweli Tz. Majority wanaotoka ccm in wale waliofukuzwa au kubanwa kimaslahi halafu wanataka kutuaminisha kwamba they are agents of change!

Wengine hatudanganyiki. I will be the last person to trust this woman called Mange Kimambi.

Endeleeni kushangaa...kesho mtatangaziwa kwamba Mange kawa DC..ndo mtaijua CCM in mdudu gani!
 
Ni wanamme wangapi wa dar wamepaza sauti zao kulalamika juu ya mkuu wa mkoa wao kma mange? Ukipata jibu utoe na idadi ya wanaime wote wa dar. Jibu utakalopata ni kuwa ao waliobakia hwana maana katika jamii ya dar
Mnataka muishi kwa kutegemea wanaume wa Dar, hao wa mikoani wamefanya kipi wkt wakuu wa mikoa wao kila siku wananyanyasa watu. Kila mtu apambane na hali yake, Nendeni kaishini nyinyi Dar kwani nani kawazuia mng'ang'anie huko porini?
 
Back
Top Bottom