Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Watu wengi wamezidi kumkubali baada ya Serikali kuanza kumuogopa rasmi ndani ya miezi hii.Mange amefanya kila kiongozi azunguke nchi pasipo kujiandaa akiwemo raisi pia matamko ya vitisho vilivyokosa uelekeo.Kazi wanayo maana maandamano ndio yanazidi kunoga.Huko Katoro jirani na chato mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]☄️☄️NASIKIA VIPEPERUSHI VIMEMWAGWA KILA KONA☄️☄️☄️☄️☄️☄️☄️☄️
 
Hivi mwanaume mwenye akili timamu anaweza kusimama tena amening'iniza map#mb# yake mbele ya wanaume wenzake na kuanza kumsifia Mange kimambi?

Wanaume wako wanaoongoza nchi wameshindwa kusimama majukwaani bila kumtaja itakuwa raia wa kawaida.Acha kumtukana raisi wako kijanjajanja wewe funguka.
 
Wanaume wako wanaoongoza nchi wameshindwa kusimama majukwaani bila kumtaja itakuwa raia wa kawaida.Acha kumtukana raisi wako kijanjajanja wewe funguka.
Ni aibu kubwa kwa mwanaume kumsifia mwanamke kuwa ni shujaa wako.
 
Nchi hii ina nyumbu wengi. Kipindi huyu Mange anawafanyia kampeni ccm....tulikuwa tunamlaumu. Alitukana sana wale wote waliotaka changes. Alimdhihaki sana Lowassa kwamba in mgonjwa WA kufa....Leo naambiwa huyu ni heroine!!!!! Huyu dada aliwafanya wote wanaoipinga ccm waonekane adui WA taifa.

Ndo maana hata CCM wanatuchezea akili kila kukicha wanajua tuna very very short memories!. Eti Mange?

Huyu in sour grapes tuu. Leo anajifanya kuongea kwa sababu Magufuli kawabana vilivyo. Maslahi Yao yamebanwa haswa! Na hapa ndo nasikitikia upinzani WA kweli Tz. Majority wanaotoka ccm in wale waliofukuzwa au kubanwa kimaslahi halafu wanataka kutuaminisha kwamba they are agents of change!

Wengine hatudanganyiki. I will be the last person to trust this woman called Mange Kimambi.

Endeleeni kushangaa...kesho mtatangaziwa kwamba Mange kawa DC..ndo mtaijua CCM in mdudu gani!
Ukweli ni kwamba Mange na yote yaliyompa umaarufu na mvuto wa kisiasa unaochemka ni kazi ya Uongozi wetu. Yaani ni mavuno ya kilichopandwa
 
Jina Nkamia alianza hoja ya binafsi ya miaka saba. Kwa kiburi Bashite alisema rais Magufuli atagombea tena 2025
Leo rais anasema yeye ni wa kupita kweli 26/4 ni mwiba
 
mange ni mpumbavu aliye nyuma ya keyboard kama kweli ni heroine arudi Tz aone
 
Messi ndio mkali kuliko wote.
Hao wakina kimambi tupa kule messi ndio kila kitu..
Mtu anacheza na mpira kama vile alizaliwa nao
 
Hivi mwanaume mwenye akili timamu anaweza kusimama tena amening'iniza map#mb# yake mbele ya wanaume wenzake na kuanza kumsifia Mange kimambi?

We unaonaje???

Kama wewe na upunga wako umesimama na kutukisa tako lako
 
Back
Top Bottom