Jamani tusemeni tu ukweli, Mange Kimambi is a Tanzanian hero

Naogopa kuchangia thread yoyote humu jf inayohusu habari za mange maana huwa napewa ban
 

Only in Tanzania kichaa anakuwa Hero
 

Acha kutudharau Wtz wewe.
 


Unasema Mange ana ujasiri wa kishujaa, ulishawahi kumuona anaandamana hapa Bongo au Marekani? Yeye hana huruma na wafuasi wake na ndiyo maana anawalostisha waandamane na kufungwa ili awacheke. Kingine, inabidi ujuwe hili kuwaa watanzania wengi wanapenda sana porojo.....watu wanahamasishana waje kuandamana then siku ya siku wanarukana kwani hakuna anayetaka kwenda kunyea debe. Subiri utaona kama kweli wataandamana, ni kelele tu za insta na ninajuwa fika serikali haiwezi kutishika na ujinga kama huu hata siku moja.
 


Kwa mtanzania asiyejitambua ndiyo anaweza ona kuwa Mange ni shujaa.
 
Aisee,karibu mtandaoni na hero wako.usisahau kuandamana tar ni 26/4 kukutana ni jirani na polisi iliyo karibu nawe.usiseme sijakukumbusha
 
Hero au heroine??
 
Nadhani ushujaa wake ungeonekana kama sauti angekuwa anaipazia hapa hapa Bongo.....
[HASHTAG]#NothingToLoose[/HASHTAG]
 
Mtu na akili zake hawezi kumsifia hata kidogo,hizo comment ni za zero brains na bendera fata upepo.
 
Hivi mwanaume mwenye akili timamu anaweza kusimama tena amening'iniza map#mb# yake mbele ya wanaume wenzake na kuanza kumsifia Mange kimambi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…