Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"God KNOWS it" siyo God KNOW it. By the way all the best!
Hao ndo waalimu wanaokwenda kuchezea akili za watoto wetu!???. BRN oyeeee!
"God KNOWS it" siyo God KNOW it. By the way all the best!
hahahaaaa!! mkuu unamuongezea ticha stress bana...!
hivi hujui kwamba ana B.A ya linguistics? lolz!
wadau katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only God know it.
Usiogope mjomba wee nenda ila wake za watu kaa nao mbali utaja fatwa na mamba kazini kwako mchana na anakumeza!!
Du! Pole mkuu! Karibu simiyu sijui ndo wapi huko aagh! Mi siendi bwana.