Jamani ukerewe daaaah !

naomba kujuzwa taarifa za kina zaidi.
 
Wanafiki sana. Wanakuchekea huku wanakuchimba. Ukale ugali wa muhogo na usafiri wa uhakika ni mitumbwi kwenda kwenye maeneo ya kazi. Ukerewe ina Visiwa zaidi ya 29.

ndicho kitu kinanivunja moyo hicho !
 
Du! mitumbwi na "bulalo"(mamba) vinakuhusu!

Anyway,maisha popote we kakomae.
 
Du! Pole mkuu! Karibu simiyu sijui ndo wapi huko aagh! Mi siendi bwana.
 
wadau katika sehemu nilizokuwa sifikiri kufanya kazi wala moyoni mwangu hakumo ni ukerewe. Hatimaye leo nimepangiwa niende huko. All in all only God know it.

Mi nacheka tu sio kwa dharau lakini ila ni utumwa wa hizi kazi zetu unapelekwa usipo patarajia ambition zote zinagoma....any way komaa tu utatoka tu kambi popote mkuu.
 
Mi nacheka tu sio kwa
dharau lakini ila ni utumwa wa hizi kazi zetu unapelekwa usipo patarajia
ambition zote zinagoma....any way komaa tu utatoka tu kambi popote
mkuu.

poa mkuu. ila nishavurugika kisaikolojia sipo sawa kabisa !
 
Ukerewe Kwetu.pazuri Sana.maji Kila Kijiji,umeme Kila Kijiji.usiogope ,ww Njoo Utapapenda.samaki Ni Wakutosha Kabisa Na Hao Ndo Watakufanya Uipende.barabara Safi Kabisa
 
Ukerewe Kwetu.pazuri
Sana.maji Kila Kijiji,umeme Kila Kijiji.usiogope ,ww Njoo
Utapapenda.samaki Ni Wakutosha Kabisa Na Hao Ndo Watakufanya
Uipende.barabara Safi Kabisa

jiandae kunipokea !
 
Uk pazuri tu wasikuogopeshe.Nina rafiki yangu huko ni dr,kabla ya kwenda alikuwa anasita kama ww.Kwa ss hataki hata kutoka.Nenda bwn,maisha ni popote.
 
Uk pazuri tu
wasikuogopeshe.Nina rafiki yangu huko ni dr,kabla ya kwenda alikuwa
anasita kama ww.Kwa ss hataki hata kutoka.Nenda bwn,maisha ni
popote.

nimekupata mkuu shukrani sana !
 
vipi kuhusu usafiri kutoka mwanza mjini unakuwaje hapo mpaka kufika ukerewe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…