Jamani yule njiwa alieingia nyumbani nikamtoa nje leo tena amerudi

Top Gun

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
257
Reaction score
860
Jana niliandika uzi kuhusu njiwa kuingia nyumbani kwangu wakati wa mvua na alionekana wala hata hagomi kushikwa alikuwa mtulivu tu, hata akiruka anarudi mahala flani kwa muda huo

Sasa jana tulimtoa nje usiku leo asubuhi mida ya saa tano karudi , sasa tumemuacha tu.

Tusaidiane mawazo wakuu

Kamata chinja mbanike mle..
 
Angekuwa ni mzungu hata haulizi atamkarimu huyo njiwa
 
Huku sengerema baada ya njiwa ni mamba ukimfuza hataki
 
Back
Top Bottom