Una umri gani mweshimiwa?Njiwa hatumiwi kichawi kaka
25sUna umri gani mweshimiwa?
huenda amekuja na salamu muhimu,Jana niliandika uzi kuhusu njiwa kuingia nyumbani kwangu wakati wa mvua na alionekana wala hata hagomi kushikwa alikuwa mtulivu tu, hata akiruka anarudi mahala flani kwa muda huo
Sasa jana tulimtoa nje usiku leo asubuhi mida ya saa tano karudi , sasa tumemuacha tu.
Tusaidiane mawazo wakuu
![]()
Njiwa kaingia nyumbani na wala haoneshi dalali ya machachari na wala hataki kuondoka
Sijaona jirani wa karibu kama anafuga njiwa. Saa kumi na moja jioni, Mke wangu amerudi kutoka kusuka , ile anafika nyumbani ndio ikawa imeanza kunyesha, ndio akakukatana na njia ambaye kama amenyong'onyea. Akamasaidia kumtoa katika mvua akamwingiza ndani. Baadae akamtoa nje ila hajaruka na...www.jamiiforums.com
Wanakula nini? Najua choroko wanapenda sanaKuna njiwa na njiwa,wengine ata ulezi hawali
Tupe utofauti mkuuKuna njiwa na njiwa,wengine ata ulezi hawali
Na itapendeza sanaNunua choroko mpe......atakupenda kila akikuona anakufata
hapo kwenye lugha gongana ungefafanuaNina practical experience ya kuku ambae alikuja home ktk mazingira hayo hayo, amedhoofu kiasi, vijana wadogo bila kushauriana wakamgeuza kitoweo! siwezi kuhusianisha Kwa ushahidi lkn all was not well at home kuanzia hapo.