Kamata chinja mbanike mle..Jana niliandika uzi kuhusu njiwa kuingia nyumbani kwangu wakati wa mvua na alionekana wala hata hagomi kushikwa alikuwa mtulivu tu, hata akiruka anarudi mahala flani kwa muda huo
Sasa jana tulimtoa nje usiku leo asubuhi mida ya saa tano karudi , sasa tumemuacha tu.
Tusaidiane mawazo wakuu
Njiwa kaingia nyumbani na wala haoneshi dalali ya machachari na wala hataki kuondoka
Sijaona jirani wa karibu kama anafuga njiwa. Saa kumi na moja jioni, Mke wangu amerudi kutoka kusuka , ile anafika nyumbani ndio ikawa imeanza kunyesha, ndio akakukatana na njia ambaye kama amenyong'onyea. Akamasaidia kumtoa katika mvua akamwingiza ndani. Baadae akamtoa nje ila hajaruka na...www.jamiiforums.com
Wazungu tamaduni zao ni tofauti na sisi. Hapo sisi lazima tupambane nae huyo njiwaAngekuwa ni mzungu hata haulizi atamkarimu huyo njiwa
tamaduni au sioWazungu tamaduni zao ni tofauti na sisi. Hapo sisi lazima tupambane nae huyo njiwa
Hapo ni tamaduni na mautamadunitamaduni au sio
Njiwa Hana madhara yoyote na anakaansehemu yenye amaniNunua choroko mpe......atakupenda kila akikuona anakufata
Kuna njiwa na njiwa,wengine ata ulezi hawaliNunua choroko mpe......atakupenda kila akikuona anakufata