Jamani yule njiwa alieingia nyumbani nikamtoa nje leo tena amerudi

Chakula kinakuja kwako unakiogopa,Chinja au mpe mchele na maji aondoke.
 
huenda amekuja na salamu muhimu,
mchunguze vyema huenda ana ujumbe wako mwilini mwake,

lakini pia ni muhimu kujiridhisha,
huenda ni drone hao wanao graduate ambao wanamsubiri uwapeleke veta wanafanya practical exercise na wanakuchezea akili kisayansi huku wakiwa hawana mbavu kwa kicheko wanakuchungulia kwa dirishani unavyotetemeka 🐒
 
Muache aanzishe makazi yake darini. Ila ukisikia mtu anatafuta njiwa wake utoe taarifa mapema.
 
Nina practical experience ya kuku ambae alikuja home ktk mazingira hayo hayo, amedhoofu kiasi, vijana wadogo bila kushauriana wakamgeuza kitoweo! siwezi kuhusianisha Kwa ushahidi lkn all was not well at home kuanzia hapo.
 
You seem to be a kind person . ni ishara nzuri Sana waweza muacha akaondoka mwenyewe
 
Huyo atakua bado kinda,hata hivyo njiwa huwa wanaishi wawili wawili..tafuta sehemu wanayofugwa mpeleke huko,usifikirie kumuua Wala usihusishe na imani za kishirikina
 
Nina practical experience ya kuku ambae alikuja home ktk mazingira hayo hayo, amedhoofu kiasi, vijana wadogo bila kushauriana wakamgeuza kitoweo! siwezi kuhusianisha Kwa ushahidi lkn all was not well at home kuanzia hapo.
hapo kwenye lugha gongana ungefafanua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…