Jambazi aliyetuibia TV mwaka 1988 nimemuona leo akiwa mzee

Mkuu hivi unajua tv inamaanisa video pia tanga miaka ya 91/92 Kuna zile antena kibao za milingoti enzi hizo tanga ilikuwa tanga kweli enzi za kinamama nanyaro pale bombo chuo I can't unfold who my father was
 
Tanga ilikuwa super Sana zamani enzi hizo muda mfupi mzee anahama tanga tukawa tunarudi kuangalia miradi ya familia nikiwa dogo tunalala pale majestic hotel au mkonge hotel wiki daaah vya kale dhahabu
 
Raskazone wapi??? Sikujua wezi wanaubavu wa kuiba eneo hilo ukizingatia wanaolindwa waliishi hapo.
 
Ila hii mitaa kwa sasa acha tu!! miaka ile Tanga ni Tanga ...ilikuwa si mchezo
Uko sahihi kabisa...
Tanga ndo nyumbani japo makazi kwasasa ni Idodomya...
Nilisoma Olevel 1984-87 pale Tanga Tech hakika Tanga ile ilikuwa Bab-K
 
jinsi ulivyoandika nimejikuta nafurahi tu mkuu [emoji16][emoji16]. ila una roho ya kitusi maana kuwa na hasira ya kulipiza kisasi baada ya miaka 27 si haba
Umesoma HKL mkuu?

2020-1988=27?[emoji849][emoji849][emoji849]


Oh well!
 
No wonder

usinilaumu ni mambo ya shule tu haswa ukiwa huna akili za kukariri namba wala kiingereza. Ila nitajiendeleza na ukinichangia kwa elimu yangu utakuwa umefanya la maana sana miss 😊
 
Tv tu bado imekuletea kisasi au aliwafanyia udhalilishaji wa kingono wana kaya.
Maaan si kwa hasira za Tv tu na kuvunja mlango.
Afterall sasa una snart Tv.
Nenda muone nwambie unamkumbuka alipowaibia Tv ila mulimsamehe muachie wekundu 5.

Ataomba ombi la kukubariki
 
usinilaumu ni mambo ya shule tu haswa ukiwa huna akili za kukariri namba wala kiingereza. Ila nitajiendeleza na ukinichangia kwa elimu yangu utakuwa umefanya la maana sana miss [emoji4]
Ninamiliki various open university so worry out[emoji28]
 
Mikate ya SIHA, laini ina harufu nzuri sana na mitamu balaaa, mpaka sasa sijaona mkate unapokaribia SIHA labda kidogo mikate ya Arusha.

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ninamiliki various open university so worry out[emoji28]

nitasubiria hiyo nafasi boss lady na tukichat tafadhali usitumie sana kiingereza maana bado nao ni mtihani kama hesabu tu kwangu 😊
 
Wewe unayaishi hayo??

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…