Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
matukio ya kuvamiwa hayasahauliki kirahisi mzee,! ni matukio mabaya sana na usiombe kabisa yakutokee
nilivamiwa miaka 10 iliyopita lakin Hadi leo ikifika saa nane usiku usingizi unakata , na sura za hao jamaa hazitakaa zipotee akilini mwangu hadi naingia kaburini
True!!
Trauma never ends easily!
Kiasi nikimuona Mzee TAL najiuliza how does he sleep at night? Nahisi ni kama nightmares haziwezi mwacha mpaka mwisho!!
Trauma kills you slowly but surely!