t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
matukio ya kuvamiwa hayasahauliki kirahisi mzee,! ni matukio mabaya sana na usiombe kabisa yakutokeejinsi ulivyoandika nimejikuta nafurahi tu mkuu [emoji16][emoji16]. ila una roho ya kitusi maana kuwa na hasira ya kulipiza kisasi baada ya miaka 27 si haba
nilivamiwa miaka 10 iliyopita lakin Hadi leo ikifika saa nane usiku usingizi unakata , na sura za hao jamaa hazitakaa zipotee akilini mwangu hadi naingia kaburini