Jamaa hawezi kunifanya lolote am now powerful than them I may do anything to them and leave unharmed.
Hahah hapa umenishushua etiKaongea nini wakati hapa kaandika tu?
Amfate kirafiki amueleze ukweli..ili awe huru..
Kwa nini swali liwe nani?Adhabu aliyoipata toka kwa nani?
Malizia hasira zako kwa akina Fatuma... yaani ukikutana na mkwaju unaitwa Fatuma tu, unaruka nae na ikibidi mimba juu!!Hakumdhuru baba ila jiwe fatuma lilivunja mlango likaharibu Sana Mimi nilikuwa mdogo na tv aliyoiiba ilituuma Sana. Mnaokaa mabibojeshini mnaweza kuliona hilo zee semakota ni nyingi.
Ndio inawezekana..hiyo adhabu imetokea huko?Kwa nini swali liwe nani?
Inawezekana ni The Second Law of Thermodynamics coupled with Newton's third law of motion.
Huu ni wakati wako wa kulipa kisasi , hukuonyeshwa hivi hivi tu , ulipewa nafasi ya wazi ili ulipizeKweli milima haikutani jambazi lililotuibia tv mwaka 1988 Raskazone Tanga nimeliona leo limezeeka linaishi kwa mtoto wake pale Mabibo jeshini linaumwa figo miguu imevimba balaa.
Kilichofanya nimtambue ni kovu lake juu ya jicho na huyo mwanae anaeishi nae japo wao wamenisahau.
Moyo unaniambia nimfwate mshkaji nimueleze kwamba ujambazi wa baba yako ulituletea umaskini kipindi tv za kwanza ndio zinaingia Tanzania.
Jamaa hawezi kunifanya lolote am now powerful than them I may do anything to them and leave unharmed.
Lengo nimlipie kisasi marehemu baba yangu.
Sitarajii kuwadhuru ila hata nikikumkumbusha huyu mzee uhalifu wake moyo wangu utaridhika.
Huijui Tanga.Raskazoni Tanga, mwaka 1988 au ni mwaka 1998? Mlikuwa mnatumia Satellite Dish?. Kwa mji kama Tanga kuwa na TV enzi hizo, basi familia yenu ilikuwa ni ya kiongozi mkubwa sana tena wa ngazi za juu sana, asiyepungua kwenye rank ya Uwaziri. Hata Dar es Salaam, japo sikuwepo, ni watu wachache sana waliokuwa na Satellite Dishes, na ninadhani labda walikuwepo Masaki na Mikocheni tu, na ciy centre, possibly.
Dr. Rginald Mengi (RIP) ameanzisha TV kwa mara ya kwanza hapa nchini mwaka 1994. Eneo nililokuwa naishi mimi maeneo ya Manzese Tip Top kulikuwa na nyumba mbili tu zenye TV. Sasa jaribu kuu-retrospect ukweli huu na hali ya Tanga, na si Dar es Saalam. Unaweza kuwa umekosea bali ni mwaka 1998, kama ni kweli!
si ndo wanasema tutsis never forgive, never forget 😊😊.. utakuwa una damu hiyo
Umeelewa nilichokuuliza?Ndio inawezekana..hiyo adhabu imetokea huko?
Ndio huyo huyo 'nani!'..sijui Newton..sijui..
[emoji28][emoji28]nitasubiria hiyo nafasi boss lady na tukichat tafadhali usitumie sana kiingereza maana bado nao ni mtihani kama hesabu tu kwangu [emoji4]
mkuu hata mimi najiuliza trauma inamtafunaje TAL, ni kitu kigumu sanaTrue!!
Trauma never ends easily!
Kiasi nikimuona Mzee TAL najiuliza how does he sleep at night? Nahisi ni kama nightmares haziwezi mwacha mpaka mwisho!!
Trauma kills you slowly but surely!
Kama unamaanisha video, naweza kukubali. Unajua kipindi hicho kulikuwa na mkanganyiko wa uelewa wa watu. Walikuwa hawawezi kutofautisha TV na Video. Ni kama kipindi zilipoanza kuingia Kompyuta, watu walikuwa hawawezi kutofautisha Monitor na CPU ambayo ndiyo Kompyuta yenyewe. Kuna mtu mahali fiulani aliwahi kuiba monitor akaenda kuuza yeye akiwa anajua kuwa ndiyo computer yenyeweMkuu hivi unajua tv inamaanisa video pia tanga miaka ya 91/92 Kuna zile antena kibao za milingoti enzi hizo tanga ilikuwa tanga kweli enzi za kinamama nanyaro pale bombo chuo I can't unfold who my father was
Coastal Television Network (CTN) na Dar es Salaam Televisheni (DTV) nazijua piaTanzania watu Wana TV miaka na miaka..
Tvz ni ni kituo cha miaka mingi sana
Watu wa Dar walikuwa wanatazama tvz miaka mingi ...
ITV sio TV station ya kwanza Tanzania wala sio ya pili..
CTN ndo ya kwanza Tanzania bara around 1992
Mwaka wengi wa Dar tumemtazama
Rashid Yekini anachukua kombe la afrika na Nigeria kupitia CTN..1994 January
Baadae ikaja Dtv ..
Tumetazama premier liegue na Dtv
Enzi hizo Stan collymore ndo top striker Liverpool
ITV ilikuja 1994
Mimi nasubiri hili jambazi lililotuibia trillion 1.5 likizeeka naenda kubaka wajukuu zake na wanae, litakuwa halina nguvu tenaKweli milima haikutani jambazi lililotuibia tv mwaka 1988 Raskazone Tanga nimeliona leo limezeeka linaishi kwa mtoto wake pale Mabibo jeshini linaumwa figo miguu imevimba balaa.
Kilichofanya nimtambue ni kovu lake juu ya jicho na huyo mwanae anaeishi nae japo wao wamenisahau.
Moyo unaniambia nimfwate mshkaji nimueleze kwamba ujambazi wa baba yako ulituletea umaskini kipindi tv za kwanza ndio zinaingia Tanzania.
Jamaa hawezi kunifanya lolote am now powerful than them I may do anything to them and leave unharmed.
Lengo nimlipie kisasi marehemu baba yangu.
Sitarajii kuwadhuru ila hata nikikumkumbusha huyu mzee uhalifu wake moyo wangu utaridhika.