Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani


Kwa hii historia ya Saidi Mkindi, Banjoo akiisoma atakuwa kama piriton na kuachana na unyamera wake
 
Last edited by a moderator:
Jamani mmemsahau na Anton Msechu boss wa zile gari za deiwaka nae enzi zake alikua noma
 
Mbona mnataka kuturudisha enzi za marehemu NYOKAA......fungeni wote hao. Ila ni ngumu maana polsi wenyewe wanashirikiana na majambazi inashangaza sana wale waliokuwa majambazi sugu na wauwaji wakubwa kama MOJAA eti leo yuko ndani ya polisi jamii hapa unategemea nini...?
 
Baada ya muda utasikia ni Diwani wa kata fulani. Kama bosi wake Nyari alivyochaguliwa. ccm oyeeeeeeeeeee. Kidume chama cha mapinduzi.
 
Mbona huyu banjoo hana shida na mtu mambo yake yako super tu.muda wote yuko porini twn anapanda wkend
 
kama kweli wana Arusha wanamuona huyu jamaa ni hatari kwa usalama wao wamuundie zengwe tu apotee.

Yule Van Damme mtemi wa Sinza mnajua yupo wapi?? Mnadhani alikamatwa na hawa polisi virungu? Wazee walichoshwa wakasema sasa basi. Sasa hivi huko alipo analialia kama mwali aliyechaguliwa mume.
 

Dah! Umenikumbusha mbali! Ina maana Damme hayupo jela? Mara ya mwisho nilisikia yupo jela.

Vipi dogo lake, Haji nafikiri; naye nilisikia yupo jela?!?

Damme alikuwa noma sana...Sinza Makaburini, Palestina, Madukani hadi Mugabe, yeye ndiye alikuwa mtabe!

Wakati nipo sekondari WuTamba, jamaa ukikutanae njiani ukirudi nyumbani, lazima umtoe hata jiti! Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…