Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Na kuna siku alikamatwa na polisi nadhani walikuwa kwenye upelelezi wao tayari Nyari akiwa diwani wananchi wa Kata ya Mererani waliandamana mpaka polisi wakidai Kiongozi wao anaonea na mabango makubwa[emoji12] [emoji12]
[emoji3] [emoji3]
 
Mkuu duniani hakuna haki...!!
Haki itapatikana mbinguni pekee
 
Nimekaa sana R chuga, niliwahi kusimuliwa mikiki ya huyu jamaa na kama ckosei niliambiwa alikuwa kijana mdogo sana na kabla ya kujiingiza kwnye ujambazi eti alikuwa ni dereva tax wa pale jobi ngarenaro,
Kitu kingine cha kushangaza ni kuona yule mfadhili wake mkubwa ( nyari)
Nae anaendelea tu kupewa tenda za kukusanya ushuru wa magari Arusha mjini,
Alafu kuliwahi kutokea mtoto mungine hatari jina lake limepotea kdg lkn yeye alikula shaba pale Sakina bar
Ivi ni nani yule!
lkn mi cshangai watoto wa A town kuwa wakatili namna ile kwa sababu kunatoka marijuana kali sana kule
 

Huyo alikuwa Nyokaa
 


"Story ya Nyokaa" by Chindo
 
Banjoo trip hii kapatikana alijichanganya vibaya mno na sidhani kama atachomoka tena...Mameli wote wamepambana ili atoke wameshindwa kabisa..
mkuu manuu hakuna mtu yeyote anampambania huyo boya mana ametaka mwenyewe....wa2 hawataki hata kusikia habari zke unakumbuka issue y mke wa jackson manjulu kutaka kuuawa n mke wake..jamaa ndio aliplan issue nzima n jacky akaamini mke amekaa jela mwaka akiteseka kwa kosa ambalo halijui
 
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…