"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje. Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote. Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali
Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?.
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
Ila sasa hivi litauwawa!
Acha urongo, zenii ni mdebwedo fullEti mtu wa hatari sema nyinyi watu wa arusha mdebwedo huku aje basi zanzibar kama mtamsikia tena
Eti mtu wa hatari sema nyinyi watu wa arusha mdebwedo huku aje basi zanzibar kama mtamsikia tena
Geuza hayo maneno halafu acha matusi!!!
Acha kashfa wewe! Aje Zanzibar kuna nini cha kuibwa, urojo na wangese au?
Huyu nimekutana naye tena leo akitamba mtaani na simu ya kifahari. Tarehe 15 august nilimkuta pale Polisi gari yake aina ya RAV4 ikikaguliwa na polisi kwa kuwa na chasis namba zenye utata. Katika ile hukumu gari yake ilitakiwa kutaifishwa lakini kabla polisi hawajafika nyumbani gari likachukuliwa na mkewe likauzwa likachinjwa na kuuzwa kama parts.
kuna watu utafikiri ni mashetani. mkuu baada ya hapo ni nini kilitokea? maana hii no kama muvi
Gari ikachinjwa?? Arusha kuna mambo enh!!!
uboya utakuwa nao wewe kwanza.
list ya majambaz sugu kwa tz hii inaongozwa na chaggas na mlez wao anajulikana sasa wewe unaleta povu
Na wewe acha kufagilia watu wapumbavu, kama huyo mtu anawasumbuwa na hamtaki kumuona mna shilling ngapi niwakabidhi mtu wa kuwaondolea hiyo kero? maana msitujazie server bure hapa.Huyu jamaa akikuona ukimpiga picha kwa alivyo hatari kesho hutaiona. Ni mtu hatari kwa amani na usalama wa mali za watu wa Arusha.
Tunamwomba MWEMA CHONDE CHONDE do the needful kabla huyu jamaa hajaanza ku eliminate watu
ona hawa malofa wanatambiana ujambazi??????????????Kweli hii nchi ina empty mind
"Banjoo" NI jambazi sugu la Silaha hapa Arusha lililokuwa linatumiwa kama kijana wa kazi na Nyari kuwapora wafanyabiashara madini ya TANZANITE yaliyokuwa yakipelekwa KIA kusafirishwa nje. Jambazi hili hatari ambalo linanuka damu za watu lilihukumiwa siku moja na Nyari mjini Arusha kifungo cha miaka 30 jela kwa ushahidi uliokuwa hauna shaka yoyote. Cha ajabu baada ya miaka michache tu Nyari aliachiwa na bila shaka yeye ndiye aliyeshughulika hadi swaiba wake Banjoo kuachiwa hata bila kukaa jela kujutia madhambi yake angalau kwa miaka 10 tu.
Banjoo namwona akitamba hapa mjini bila hofu yoyote.
Swali
Ni vipi tutatokomeza wizi wa silaha na mauaji ya watu wasio na hatia kama sheria zetu zitaendelea kuwa dhaifu kiasi hiki?.
Banjoo kwa vile vyovyote atarudi tena mitaani kuendelea na kazi yake ya wizi na mauaji jambo ambalo lingeweza kuzuilika kama mahakama zetu zingekuwa responsible kuwapa core criminal kama Banjoo adhabu inayostahili.
Mkuu nduu/mamaya baada ya hapo ilibidi daktari wa zamu akishirikiana na uongozi wa hospital utoe taarifa polisi kwaajili ya uchunguzi.
Marehemu Major Makange Baba wa marehemu mtaalamu wa mizinga aliyesomea India na kushiriki kikamilifu katika operesheni ya kug'oa utawala wa Idd Amin wa Uganda na kwa wakati fulani akitumika katika jeshi la Uganda chini ya utawala wa Musevenii alikuwa mtu wa mwanzo kufika Mt Meru Hospital kushuhudia mwili wa Baby ukiingizwa chuma cha kuhifadhi maiti.Bila kuchelewa aliwaambia polisi mwanangu atakuwa ameuwawa na Sadiki Mkindi na lazima angelipa kisasi kwa kuapa kwamba Baby angekuwa mtu wa mwisho kuuwawa na Sadiki Mkindi.
Uchunguzi wa polisi ulianza mara moja kwa kuvamia makazi rasmi ya Sadiki kwaajili ya upekuzi na mahojianao ya majirani ambao walikiri kusikia vishindo na makelele ya malalamiko ya Marehemu Baby lakini hakuna jirani aliyethubutu kutoa msaada kwa marehemu kutokana na kuogopa ukatili wa Sadiki.Majirani waliendelea kufunguka zaidi walishangaa nyumba ya Sadiki ilikuwa na utulivu mkubwa wa zaidi ya wiki moja kitu ambacho si cha kawaida.Katika upekuzi polisi walifanikiwa kukuta nguo za marehemu zilizojaa damu nyingi sana hali iliyoashiria kwamba marehemu kabla hajapelekwa hospital alibadilishwa nguo ili kuwaadaa madaktari,wauguzi na dereva taxi wasigundue au wasihisi kitu chochote.
Msako wa kumtafuta Sadiki Mkindi ukaanza mara moja,iliwachukua polisi wiki kadhaa kumnasa Sadiki Mkindi Jiji Dar es Salaam na kumrejesha Arusha kwajili ya kumfungulia mashtaka ya kuuwa kwa kukusudia.Ukoo wa mkindi ambao tayari ulikuwa unanuka kwa maovu mbali mbali haukuwa na nafasi ya ushawishi tena juu ya yote mtu pekee alibaki na ushawishi alikuwa marehemu Brigedia Mkindi wakati akihudumu ofisi ya mkuu wa mkoa kama mshauri wa mgambo wa mkoa.
Kesi ilianza kunguruma mahakama kuu Jiji Arusha,Mashahidi muhimu walikuwa mlinzi wa Hospital ya Mt Meru ambae alikuwa akimfahamu vizuri Sadiki Mkindi kutokana na kulazwa kwa muda mrefu Hospatal ya Mt Meru akisumbuliwa na TB aliyoipata wakati akitumikia kifungo gereza la mkoa wa Arusha kwa makosa mengine ya mauaji.Daktari aliyeufanyia mwili wa marehemu uchunguzi pia alitoa ushahidi uliomtia hatiani Sadiki Mkindi na kuhukumiwa kunyongwa na mahakama kuu na baadae mahakama ya rufaa ilikubaliana na hukumu ya mahakama kuu ingawa mpaka leo bado hajanyongwa na hadhabu yake imekuwa kifungo cha maisha huku mwenyezi Mungu akimtandika kwa ugonjwa wa kupooza upande mmoja wa mwili.
Hawa ndiyo unaweza kusema walikuwa majambazi wa kutisha kwasababu kwanza walikuwa wameende shule,wakati mwingi walikuwa wanasoma vitabu mbali mbali kwaajili ya kuongeza ujuzi.walikuwa wakiangalia picha za kimafia ambazo pia zilikuwa kuwasaidia katika operesheni za ujambazi.Sadiki Mkindi mara kadhaa alikuwa akijitetea mwenyewe mahakamani mara anapobaini mwanasheria wake anashindwa kufikia kiwango anachokitaka isitoshe alikuwa na exposure ya kuishi Ulaya na kufanyabiasha kwa kipindi kirefu.Ukimweka Banjoo katika level ya Sadiki Mkindi ambae hata maafisa magereza wanakwambia ni mtu hatari asiyetakiwa kupewa nafasi hata kidogo ni kujinyima ufahamu wa mambo kwa kujitakia.Sadiki Mkindi ni jambazi anayefanya ujambazi kwakuwa ni sehemu ya maisha yake aliiba wakati alikuwa ameachiwa urithi wa nyumba nyingi katikati ya mji nadhani unafahamu thamani ya viwanja vya mjini ni shilingi ngapi,kodi za vyumba vya mjini ni shilingi ngapi......Banjoo ni kajambazi kwaajili ya kuganga njaa hana kitu hapa mjini,hana elimu,hana biashara,hana kazi hana analoweza kufanya kwa sasa hana network amebaki akijificha jificha kwenye vigrosaries na kuomba omba bia za wanaume wa mujini.