Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

unamjua huyo jamaa? aisee inabidi tukae meza moja tunywe bia ngongo, halafu banjoo mwenyewe siku hizi joka la kibisa tu, hajitokezi mjini, "Anless pub" ndio bar yake kubwa, mle ndani si unajua palivyo?

anatokea kwenye pub mshenzi, kuna siku nimemuona Babylon na malaya flani mtoto wa maeda.
 
Acha urongo, zenii ni mdebwedo full

mtaishia kumwagia tindikali mapadre na vischana vya kizungu tu

cowards

Yap ndo ukweli wenyewe they r cowards, huwez ishi kwa tindikali
 
Mkuu paradiso ha ha ha ha yaani virooms na deals alizopiga za mamilioni is there any corelation ?.Hizo project alizonazo hata wale wadada wanaofanyakazi A to Z mbona wanazo.Jambazi anayeshirikiana na polisi kuchakachua vijisenti angekuwa na zile nyumba zenye hadhi ya kukaa wafanyakazi wa UNICTR ungesemaje ?.

Hapo kwenye red nikukosoe kidogo.
Banjoo ana vinyumba kadhaa vya kupanga, pia kazi yake bado ni ujambazi(anatumia manyoka yeye binafsi hazmi front sana) na kazi nyingine anayofanya ni kuwauza majambazi kwa polisi.
Inshort za kubadilisha mboga zipo.
 
Last edited by a moderator:
Ngongo & paradiso

Kwa kweli weekend hii ningewapata mlipo ningewapatia chochote kile mnachotumia.
Nasema hivyo kwa sababu ya kuwa makini na yote haya mliyopost katika thread hii. Huyu Banjoo nakwambia siyo kwamba ni mbabe Mi naweza kusema ni mpumba.vu tu kwani hata elimu yenyewe nafikiri ni ya darasa la tano tu ila kinachomsaidia ni uwenyeji tu ila nawaambia siku huyu Mungu mwenye uwezo wa yote akisema no mambo yake huyu yatakua mwisho.

Ngongo paradiso

Kuna huyu mwingine anayeishi hapo Ngarenaro corner maarufu kwa kuitwa Jumanne Mjusi naye namsikia ni soo very danger na ana group lake la vijana ambayo ndiyo sasa hivi anataka kunyanyua kichwa hapa jijini. Habari yake mnaisikiaje? Maana Mi naona hata akipelekwa gerezani leo kesho unamwona mtaani tu.
 
Last edited by a moderator:
 
Labda kuna kifungu cha sheria kinachowalinda wa2 waliowekeza na kujihajiri kwenye sekta ya ujambazi wa hali ya juu,maana 2nashuhudia vibaka waiba kuku na wakwapua mikoba ndio wanaoozea jela.Lakini ukienda kufungwa kwa wizi wa mamilioni ni fasta kumaliza kifungo.
 

ndo ushangae sasa, ila habari ndo ivyo.
kama mtu anapata billion 1 alafu hajabarikiwa kuwa mipango anaishia kumiliki room 1 na gari moja na nina ona kawaida sana.
 

Mkuu Jumanne Mjusi ni kuku mdogo sana.
Huyu ni mwizi wa kuvunja mastore na magodown kwa vikundi vya kujikusanya kutoka mitaa kadhaa na alijisalimisha bungeni miaka ile nakusamehewa.
Sasa hivi ni green guard na ndiye aliempiga shoka la bega kamanda wa chadema maeneo ya Elerai kwenye uchaguzi mdogo wa kata 4.

Jumanne mjusi kwa sasa anatumiwa na CCM kuleta fujo hasa maeneo ya soko la ngarenaro ila diwani wa Levolosi Ephata Nanyaro amefanikiwa kumtimua hapo.

Huyu dogo ana roho ngumu na sura mbaya tu lakini hana akiili ya umafia , anatumia nguvu zaidi na hirizi kwa sana tukiamua hata sasa hivi tunamuua kama kuku bila hata kutumia risasi.

Jambazi anatembea na pikpik wakati nimajifunza shabaha kwa miaka 3??
 

Heshima yako mkuu Ngongo! Hakika wewe unaijuwa vizuri sana hii familia. Yaani hapa kama nauona ukoo mzima wa Mkindi na umaarufu wao.
 

Hapo ndipo nashangaa. Zeloth ni askari hodari na mwenyeji wa Arusha. Kwa nini asipewe huu mji aunyooshe? Mara Dodoma, mara Mtwara. Sielewi hata kidogo.
 
sasa hivi kwesha habari, watoto wana kula unga kama chakula vile.

Paradiso, hiyo itakuwa second generation ya ukoo wa Mkindi. Wengi niliokuwa nawafahamu hawakuwa hivyo. Kuna moja alikuwa umri wangu, ambae alijiuwa jela kwa kujirusha kwenye mtaro wa maji. Huu ukoo ni balaa.
 
Wanao weza kuthibitisha mtu kuwa ni mwizi au si mwizi ni mahakama kwahiyo usimuite mtu mwizi kwa chuki zako binafsi au kwa kushabikia kitu.
 


Yap! Hakika nimekusoma Mkubwa!
 
duh sirushi tena mguu pande hizo ...
 
Hapo ndipo nashangaa. Zeloth ni askari hodari na mwenyeji wa Arusha. Kwa nini asipewe huu mji aunyooshe? Mara Dodoma, mara Mtwara. Sielewi hata kidogo.
Zelothe Stephano ameshastaafu hapahapa Dodoma baada ya kazi kubwa ya kuusafisha Mji huu, ingawa alifiwa na mtoto wa ke aliyekuwa akisoma UDOM, alianza kunyong'onyea akipunguza makali kwa wale tena majambazi na matapeli hasa ya Viwanja vya CDA, Tunaye Misile naona anakomaa nao.
Ila kwa Arusha hao kina Nyari watafutiwe Dawa kwani mauaji ya Wafanyabiashara wa Madini ndio wanahusika sana (kuna Story ya Wodini walikolazwa huko babati walisikika akisema kuwa Msuya lazima auawe na watu wakasikia)
Mpaka leo wanatafuta Ushahidi ni nani atajitokeza na huyo Banjoo kaja?
Poleni Arusha Mji wa kidemokrasia kubalini ubabe uingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…