Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

There are currently 78 users browsing this thread. (7 members and 71 guests)

hakyamama........nyomi lote hili lipo dirishani.......
 
Duh kumbe ndio maana majambazi wanaua watu matajiri wanakaa vikao vya kuchanga pesa ili waachiwe maana wanajua siri zao zitafichuka. Sasa hii mitandao itaisha kweli au ndio kila siku watu kuuliwa kikatili.
 
sasa watu kama hawa kuna haja gani ya kuwalea!! eeeenh!!
si anyongwe tu!!
 
Mkuu hapo siyo udhaifu wa sheria bali, ni rushwa iliyokithiri hapa nchi!
 
akili mavi kabisaa, nayo hiyo ni sifa? mwehu mkubwa wewe!!!


cc Nicholas

Nashukuru...uzuri ni kwamba huwa miminatoa kazvu wanapiga mikelele na matusi kibao halafu mwisho wa siku wanakuja lala ktk ukweli bila jijua..Akili zao zipo kwa wachaga..wanshangaa wachaga kutoa majambazi bora....?hii inathibitisha kuwa wachaga si saizi yao badala ya kuwahuchukia wajifunze......Wachaga watawapiga bao kila iadaza ni mchaga tuu kuamua.....

Niliweka thread hado mods wakang`aka ila kila kitu nikiwekacho si muda kinathibitika...Ndio maana naona fahari kuwa ita hawa wavivu..na wapuuzi chasaka, kyakasa, sichomba, shimalando......watakuwa dhaifu kata kwenye kufa.....

Hawajapa upeo wa kujifunza kwanini kila kitu mchaga akikigusa kinakuwa GOLD.....subiri waingie ktk sports...hata muhuni Alex Massawe jambazi alieyufanya mpira part time kuingia Simba walimuona......

Tunasikia kila siku Amakocha wanalia wabongo hawafundishiki......mimi naongeaze hata hawawezi jifunza.
 
nilikupa kopi ili umkemee huyo mdada mwehu kuharibu jina la kabila kwa kulisifia kwa ujamabazi, ulichofanya na wewe ni kusifu upumbavu huo huo!!! mwendawazimu mkubwa na wewe!!


 
Ngongo, huyo dada wa kaloleni aliekuwa na mkindi anaitwa Rose, aisee huyu dada alikuwa bonge la mrembo, alijaaliwa haswaa!
 
Usijali. Serikali yako inasaidiwa na street justice. Mbaya ni pale wasiomo wanapojumuishwa
niukweli usiopingika kwamba serikali yetu inalea wezi.

kundi la "wachaga wezi" linajulikana toka enzi za MAHITA lkn linavumiliwa na kuendekezwa tuuu na serikali sijui wana guts zipi
 
ni mteja tu hapo, na siku hizi anapapenda hapo coz kuna vikona kona vya kujificha.

Nyamayao hivi unakaa wapi maana inawezakuta tunakaa mtaa mmoja. Mi nipo philips
 
nilikupa kopi ili umkemee huyo mdada mwehu kuharibu jina la kabila kwa kulisifia kwa ujamabazi, ulichofanya na wewe ni kusifu upumbavu huo huo!!! mwendawazimu mkubwa na wewe!!

Tehe he he cc: Nicholas
 
Last edited by a moderator:
Hofu yangu usikute ni mkakati maalum wa maccm wamuajiri ili wamtumie ktk kitengo ha wang'oa meno na kucha bila ganzi.
 
Ha ha ha sawa kabisa Nyamayao lakini utamkaji wake huku Arusha utasema Rosee si unajua tena.Ukweli ni kwamba huyu mdada madawa ya kulevya yalimharibu kabisa kuanzia usafi wa mwili ndiyo usiseme kabisa akili nayo imedorora,vipigo vya Sadiki kuanzia kumchoma pasi kwenye mapaja na visu vya mgongoni vimemwondolea uzuri wake wote.

Ngongo, huyo dada wa kaloleni aliekuwa na mkindi anaitwa Rose, aisee huyu dada alikuwa bonge la mrembo, alijaaliwa haswaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…